Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🔥 Mwonekano wa controls za Galaxy Buds 3 katika mfumo mpya wa One UI 7 kwenye simu za Samsung
🆕 Tecno imeonyesha simu nyembamba zaidi kuliko simu zote kwenye soko la simu kwa sasa.

Simu hii inaitwa Spark Slim, ni nyembamba zaidi ya Galaxy S25 Edge.

Simu hii ni prototype hivyo haitaanza kuuzwa ila Tecno imeitoa kuonyesha uwezo wake katika kuunda simu.
🆕 Kuna uwezekano simu za brand ya Honor zitakuwa simu za kwanza kuwa na uwezo wa kutuma files kwenda kwa watumiaji wa iPhone kwa urahisi

Honor Share itafanya kazi na AirDrop? 😳
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

mfano kutoka kuwa chuma Kuwa na Ngozi kama binadamu ubunifu huu utakuja kuleta uwezo wa ajabu wa Roboti kuweza kubadilika kulingana na wakati.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Katika maendeleo ya Teknolojia Watafiti wamefanikiwa kuunda aina mpya ya mkusanyiko wa Roboti unaofanana na uwezo wa kujibadilisha kutoka hali Fulani kuwa kitu Fulani.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Teknolojia hii imekuja kuiga mchakato wa kibailogia inayozingatia katika ukuaji wa seli kwa kushikamana kupitia sumaku.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗪𝗮𝗻𝗮𝘀𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝗥𝗼𝗯𝗼𝘁𝗶 𝘇𝗶𝗻𝗮𝘇𝗼𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗶𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘀𝘂𝗿𝗮 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗶𝗹𝗶𝘃𝘆𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗺𝗼𝘃𝗶𝗲 𝘆𝗮 𝗧𝗲𝗿𝗺𝗶𝗻𝗮𝘁𝗼𝗿

Inawezakana umeshtuka kidogo sio Naam wanasayansi wamekuja na Teknolojia mpya hatari 🏃‍♂️
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Sumaku Hiyo inayozunguka Kila eneo la Roboti ambapo inampa uwezo wa kujibadilisha badilisha kutoka chuma kuwa ngozi ya kawaida au ngozi ya kawaida kuwa chuma.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Si mnakumbuka Ile Movie ya Terminator Adui mmoja aliyekua anaitwa sky alikua na uwezo wa kujibadilisha kutoka sura ya chuma kuwa na ngozi kama ya Binadamu ya Mtu Fulani sasa inakuja kwenye Maisha ya uhalisia.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Utafiti huu uliongozwa na Mathew Devlin kutoka chuo kikuu Cha California Santa Barbana timu ilifanikiwa kuunda Roboti ambaye anaweza kubadilika kutoka hali ya chuma kuwa kawaida au kujibadilisha kutoka sura ya kawaida kuwa roboti.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Infinite Iterators in Python are Awesome
In today's video we're going to be learning about the infinite iterators provided by itertools, and why they are awesome!

Become job-ready with Python:
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

• inakuja na AI feature Inakusaidia kutoa picha zenye muonekano bomba.

• Ina creative clouds ambazo unaweza share picha ulizo editing kwenye simu unaweza hamishia kwenye PC faster.

• Ina RAW filter ukiediti unaweza sema ume editi kama ilivyo PC.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

• inakuja na AI feature Inakusaidia kutoa picha zenye muonekano bomba.

• Ina creative clouds ambazo unaweza share picha ulizo editing kwenye simu unaweza hamishia kwenye PC faster.

• Ina RAW filter ukiediti unaweza sema ume editi kama ilivyo PC.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

4️⃣ Adobe Express Mobile
Hii ni app nzuri kama ilivyo Canva ila kwa hii ni balaa maana Inakusaidia kuediti picha zako kwa ajili ya mitandao ya kijamii na biashara kwa ujumla kuanzia Picha na videos,
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

2️⃣ Adobe Photoshop Express
Nani asiyejua matumizi ya adobe jinsi ilivyokuwa maarufu kutokana na uwezo wake wa ku design mambo mbalimbali kupitia kompyuta,

sasa adobe Photoshop express inakupa uwezo wa editing tools kupitia images, videos, filtering and stitching videos.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗔𝗽𝗽𝘀 𝟰 𝗕𝗼𝗿𝗮 𝘇𝗮 𝗮𝗱𝗼𝗯𝗲 𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗡𝗮𝘇𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼

Kama unahitaji app Bora kwa ajili ya simu yako basi Leo nakuletea program Bora za Adobe ambazo ni muhimu kuwa Nazo kwenye simu yako.

Threads ni yako 🚀