ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
Bila kusahau uwezo wa kutengeneza Qrcode, logo, pamoja na post mbalimbali za mitandao ya kijamii kuanzia kwenye smooth skin, Editing, Denoise nk.

1๏ธโฃ Adobe Acrobat Reader
Ni program Bora kabisa ya kuweza kufungua documents mbalimbali kupitia simu yako kwa urahisi,
ikiwa na Teknolojia ya AI Yenye uwezo wa kukusaidia kufanya kazi zako mbalimbali kwa ku summarize ujumbe mrefu kuwa mfupi kwa Kila documents yako.

๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
4๏ธโฃ Adobe Express Mobile
Hii ni app nzuri kama ilivyo Canva ila kwa hii ni balaa maana Inakusaidia kuediti picha zako kwa ajili ya mitandao ya kijamii na biashara kwa ujumla kuanzia Picha na videos,

2๏ธโฃ Adobe Photoshop Express
Nani asiyejua matumizi ya adobe jinsi ilivyokuwa maarufu kutokana na uwezo wake wa ku design mambo mbalimbali kupitia kompyuta,
sasa adobe Photoshop express inakupa uwezo wa editing tools kupitia images, videos, filtering and stitching videos.

utaweza kuediti kwa urahisi sana bila kusahau ni Rahisi ku download kazi zako ulizozitengeneza kupitia simu yako.
Usisahau kutu follow kwa maujanja zaidi
@Bongotech255

๐๐ฝ๐ฝ๐ ๐ฐ ๐๐ผ๐ฟ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ฑ๐ผ๐ฏ๐ฒ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ก๐ฎ๐๐ผ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ผ
Kama unahitaji app Bora kwa ajili ya simu yako basi Leo nakuletea program Bora za Adobe ambazo ni muhimu kuwa Nazo kwenye simu yako.
Threads ni yako ๐

Ulimwenguni mwaka 2024 Kulikua na jumla ya wanaanga 47 ambao active wanaofanya kazi kati yao wanaume ni 27 na Wanawake 20 ila toka miaka ya nyuma mpaka Leo tuna jumla zaidi ya wanaanga 2000 ulimwenguni.

Kwa sasa ana umri wa miaka 15 ni mwanafunzi wa Florida Air Academy ambapo wanapata nafasi ya kusoma masomo ya marubani na safari za kwenda kwenye Sayari mbalimbali.

Lakini Tanzania kiuwalisia hatuna wanaanga wowote walishawahi au wanaotaka kupanga safari kuhusu masuala ya Anga โ๏ธ.
Je tunakwama wapi ? ๐โโ๏ธ

Nchi za Afrika Ni Mwanaanga mmoja tu Mwanamke aliyeweza kuingia kwenye safari za kuingia Angani anaitwa Sada Sabry mwenye umri wa miaka 30 kutoka Egypt (Misri).

Kuna mtoto mmoja toka Tanzania ambaye Yuko Nasa anajifunza masuala ya Anga anaitwa Gideon Gidori anatamani kuwa Mwanaanga siku moja na kutaka kupanga safari za kwenda kwenye Sayari zingine.

Tanzania hatuna mwanaanga hata mmoja ambao wanajihusisha na safari za kwenye Sayari na wanaotambuliwa na Shirika la Anga la Kimataifa ya masuala ya Anga (NASA).

๐๐ฒ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ ๐ช๐ฎ๐ป๐ฎ๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ ?
Umeshawahi kujiuliza Tanzania tuna Wanaanga wowote waliowahi kufika Mwezini au safari yoyote ya Anga ?
Leo nitakujuza!!!
Threads ni yako
Repost
Like
Follow ๐

Najua Umewahi Kusikia Kuhusu Magari ya Umeme, Lakini Vipi Kuhusu Ndege na Boti za Umeme?
๐งโ๐ป ๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph
Najua Umewahi Kusikia Kuhusu Magari ya Umeme, Lakini Vipi Kuhusu Ndege na Boti za Umeme?
Katika miaka ya hivi karibuni, magari ya umeme yamekuwa gumzo duniani kote, yakitajwa kama suluhisho la kupunguza uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na mafuta. Lakini je, umewahi kufikiria usafiri wa umeme unaovuka mipaka ya barabara? Teknolojia inasukumaโฆ
๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
Kwenye video moja iliyopostiwa mtandaoni sio ya kutengenezwa ni uhalisia ikionyesha Roboti akiwa na uwezo wa kupiga mapigo ya Kung Fu bila kusahau uwezo wa kuruka mateke ya kuzunguka nk.

Roboti huyo anauzwa kwa Dola $16,000 ikiwa na injini 23 mpaka 43 zinazomuwezesha kutembea, kukimbia, kurukaruka,
kupiga ngumi na hata kucheza.
Roboti awa tofauti na wale wa Magharibi kama vile Tesla na optimus Yenyewe G1 Ina uwezo wa kujilinda inapoona hatari mbele yake.

๐๐ต๐ถ๐ป๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ฒ๐๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ฟ๐ผ๐ฏ๐ผ๐๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐ฒ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฝ๐ถ๐ด๐ฎ๐ป๐ฎ
China sasa inazidi kuwa tishio ulimwenguni dhidi ya Teknolojia maana sio kwa kutuletea Roboti ๐๐ anagonga ngumi kama Mohammed Ally โ
threads Iko chini
Repost
Like &
follow