Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.62K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Mwonekano mpya wa Copilot unaweza kusoma tab zilizofunguliwa, kutoa muhtasari wa kurasa, na kueleza yaliyomo kwenye video za YouTube.
👍1
Wafanyakazi na wakurugenzi wengi wa Apple wanatamani Craig Federighi awe CEO mpya wa Apple lakini Craig amewahi kusema wazi kuwa hataki kuwa CEO wa Apple.
👍1
🆕 Update mpya imeondoa kipengele cha “Compose Box” kutoka kwenye dirisha la Copilot, ambacho awali kilitumika kuandika na kuweka muundo wa majibu.
John Ternus - Huyu ndio CEO wa Apple ANAYETARAJIWA kufuata baada ya Tim Cook
👍1
Kingo za kioo cha Xiaomi 15 ni nyembamba kuliko iPhone 16 Pro
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Usiogope Kusifia Bidhaa yako Dhidi ya Mshindani mwako Mtandaoni.
Leo kula tip ya .....

“Usiogope kuanzisha vita na mshindani wako linapokuja suala la social media marketing.

Tafuti zinaonesha Content za aina hii zinapata organic engagement zaidi na zinakumbukwa zaidi na wateja. Hii inaweza sababisha kupanda kwa and hence mauzo pia.”

For more info search Journal of Marketing Research: The Rivalry Reference Effect: Referencing Rival (vs. Nonrival) Competitors in Public Brand Messages Increase
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutanguliza Video za Tiktok ( Pin Tiktok Videos )
Jifunze Hii itakusaidia Sana kufanya Video zako za Tiktok ambazo unahisi endapo mtu atazitazama lazima avutiwe nazo na kufanya Azilike azi comment na Afollow hiyo Account yako Kwani zitakua Zimetangulia mbele ya Videos zako kwa kuzi Pin
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kupost Reels katika Account yako ya Facebook
Videos za Reels zimekua ni Videos pendwa kwa watu wanao tumia mitandao ya kijamii kwa hivi Sasa na ukiperuzi kidogo unakutana na Videos za Reels, Je unataka nawewe Kupost Reels katika Account yako ya Facebook Lakini haujui Video hii itakupa muongozo
🆕 Apple imetangaza MacBook Pro mpya za inchi 14 na 16 zenye chipu za M4 Pro na M4 Max.

MacBook mpya zina DisplayPort 2.1 kupitia USB-C na Thunderbolt 5, ambayo inakubwa USB4. M4 Pro ina CPU ya 14 na GPU hadi 20, wakati M4 Max ina CPU 16 na GPU hadi 40.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

I Got THIS Easy Python Question Wrong
I got this easy Python question wrong.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

https://youtube.com/watch?v=AD6fPxu1igg
Ndege ya kwanza kuwekwa Starlink "Boeing 777 "Boeing 777" Elon Musk Live Qatar Airways
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The MAGIC behind Da Vinci’s Self Supporting Bridge!
Hello everyone, let's explore the magical engineering behind Da Vinci's self supporing bridge. I hope you can support us on Patreon today - https://www.patreon.com/Sabins
Cheers Sabin Mathew
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

UNUSUAL VEHICLES FROM AROUND THE WORLD
1) Calidus GyroMotionWe4JxfVf-aU

2) Tazzari ZEROMAX
https://www.youtube.com/watch?v=-VtYlzNqlsc

3) Tazzari Zero 4 Buggy
https://www.youtube.com/watch?v=QHTYHd8T8gwvhN1FIoIiSo

4) MC One
https://www.youtube.com/watch?v=FhBEl7NY-8gbClbPt1jh9Q

5) Lazzarini Hyper Sport Jet Capsule
https://www.youtube.com/watch?v=krV2xnplmiM7WVT22jFs2Y

6) YAMAHA MAJESTY "Melted" CUSTOM
https://www.youtube.com/watch?v=ueDnHBwwCLI

7) City Transformer CT-2
https://www.yo