Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.62K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

mini pc raspberry pi 5 case ? 52Pi ABS Case Kit
DON'T Buy a PC Without Watching This Video! 52Pi ABS Case Kit
Here you can read more about 52Pi ABS Case Kit for Raspberry Pi 5:
official shop: https://52pi.com/products/n07-minitower-nvme-nas-kit-for-raspberry-pi-5
Wiki: https://wiki.52pi.com/index.php?title=ZP-0172
Amazon links
https://www.amazon.de/dp/B0DDWLBPSY
https://www.amazon.fr/dp/B0DDWLBPSY
https://www.amazon.com/dp/B0DL2R33M9

Discover the ultimate 52Pi ABS Case Kit for Raspberry Pi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya | Ku Save Videos za Tiktok | Bila kuwa na Logo au Water Mark |
Unapenda kurudia mara kwa mara kuangalia Video za Tiktok kwa kuzipakua au ku save Lakini changamoto Ni kwamba video hizo zinaingia zikawa na Logo ya Tiktok au Water Mark, Jifunze jinsi ya kuondoa Hiyo Logo hapa
💡 Touchscreen ya kwanza kwenye gari iliundwa mwaka 1986.

- Lakini teknolojia hiyo iliachwa kwa sababu wateja walilalamika kwamba ilikuwa inawalazimisha kuangalia skrini kuliko barabara hivyo ilipingwa kuwa sio salama.

- Lakini miaka ya sasa imekuwa kitu cha kawaida
🆕 Mfumo mpya wa simu za Samsung tayari umeanza kutoka kama sehemu ya majaribio.

Mabadiliko makubwa katika simu za Samsung mwaka huu, ni icons mpya, animations nzuri na mwonekano mpya. Mwaka huu Samsung imelenga maboresho ya mwonekano wa simu zake.
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note 11 (spes) Imei Repair /Rsa Solution
Xiaomi redmi note 11 (spes) Imei Repair /Rsa Solution
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
tech
🇹🇿🆕 Safari ya kwanza ya treni ya kisasa ya Electric Multiple Unit (EMU) maarufu kwa jina Treni ya mchongoko imeanza rasmi leo November 1, 2024 kutoka Stesheni Magufuli DSM hadi Stesheni Kuu ya Samia mkoani Dodoma.

Treni hii inabeba Abiria 589 kwa mwendo wa Km 160 / Saa 1
Diski ya 10MB - miaka ya 1960’s
🔥 Huyu jamaa amevuma mtandaoni.

Alijikuta amepanda ndege ambayo haina abiria wengine, akapiga picha katika kila kiti na kisha akaunganisha kwa kutumia photoshop.

Hii picha imeenda viral 🤣
👍1
🆕 OpenAI imezindua ChatGPT Search, injini ya utafutaji yenye akili bandia inayojibu maswali kwa urahisi na kutoa vyanzo vya taarifa.
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Reset apple watch
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

HANDYMAN TIPS AND TRICKS THAT REALLY WORK
https://www.youtube.com/@dzengen
t.me/generdzen
vk.com/dzengen
zen.yandex.ru/gen

For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutengeneza Picha za AI | Artificial Intelligence |
Umekua ukiona picha za aina hii huko mitandaoni ukawa unatamani nawewe uje Kutengeneza Lakini haujui Ni wapi pa kuanzia? Picha hizi ambazo zinatumia akili bandia(Mnemba. AI Artificial Intelligence) Kutengeneza Picha za aina hii ni endapo unataka Picha Ijitengeneze yenyewe kutokana na tukio Fulani Basi inajitengeneza
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note10 5g /note10t 5g/poco m4 pro imei repair ,rsa Solution
Xiaomi redmi note10 5g /note10t 5g/poco m4 pro imei repair ,rsa Solution
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my chan
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Ku Edit Styles Tofauti tofauti kwa kutumia App hii
Unapenda kuonekana katika muonekano tofauti tofauti Jaribu App hii upate styles zenye kuvutia Girls najua mtakua mnanishukuru Asante
👍1