3️⃣ Remote Lock
Sasa watumiaji wa Android wanaweza kuifunga simu yao wakiwa mbali na simu kwa kutumia tovuti ya android.com/lock
Hii itasaidia kui-lock simu kama ilikuwa haina lock
Pia utaweza kuifunga simu ukihisi haipo katika mkono salama au mtu mwingine ameichukua

❤1
1️⃣ Theft Detection Lock
Simu za Android sasa zinaweza kutambua kama mwizi ameikwapua simu kutoka mkononi.
Mfumo mpya unaweza kugundua simu imeibiwa au kuchukuliwa kwa kasi kutoka mkononi mwa mtumiaji. Ikiwa simu itatambua hivyo, itajifunga yenyewe mara moja.

2️⃣ Offline Device Lock
Kipengele hiki kitasaidia simu ijifunge yenyewe ikiwa nje ya mtandao, hivyo itamzuia mwizi kubadilisha email, password na taarifa za muhimu kwenye simu.
Pia itampa muda mmiliki wa simu kwenda online kwa kutumia kifaa kingine na kuiripoti simu yake

🆕 Snapdragon 8 Elite imezinduliwa na Qualcomm ikiwa na CPU ya Oryon, GPU ya Adreno yenye ongezeko la 40% ya utendaji, na NPU mpya inayofanya kazi za AI kwa kasi ya 45%.
Modem ya X80 5G inatoa kasi ya Gbps 10.
Itatumika katika Asus, Honor, OnePlus, Oppo, Samsung, na Xiaomi.

🔥1
CentOS ni mfumo ambao unatumika na wafanyakazi wa Meta (Instagram, Facebook, Horizon, WhatsApp na Instagram.
CentOS inatumika na developers wakubwa kwa sababu ya utulivu wake, usalama mkubwa, open-source, ipo free, na uwezo wa kubinafsisha mifumo yao kwa urahisi.

👍1