Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
⚔️ Kampuni ya Arm imetoa notisi ya siku 60 ya kusitisha leseni yake ya teknolojia inayotumika na chip za Qualcomm

Hatua hii inaweza kuvuruga uwezo wa Qualcomm kubuni chipu za Snapdragon kwa simu

Kusitishwa huku kunaweza pia kusababisha uhaba wa simu za Android na kuongezwa bei
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuweka | Biashara au Huduma | Kwenye Google Map
Kama unataka Biashara yako au Huduma unayo itoa Iyonekane na watu wengi ndani na Nje ya Nchi Njia Bora Ni kuiweka Kwenye Ramani yaani Google Map,Je unatamani kuweka Lakini hauwezi? Ondoa Shaka leo utaweza angalia
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

NAMNA YA KUTAMBUA IPHONE FEKI, USIJE UKAUZIWA KAMA IPHONE ORIGINAL
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Redmi note 10 5g /RSA Solution
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make pcb at home with Laser xTool F1, DIY PCB Fabrication
The fastest way to make crisp PCBs at home! DIY PCB Fabrication?
how to make pcb board at home,
xTool F1: Fast Portable Laser Engraver with IR + Diode Laser
https://www.xtool.eu/?ref=iCmt-v_EymcOet&utm_medium=5307&utm_source=influencer
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【 https://ko-fi.com/inventorkr/shop
****************************
Channel B
🆕 Adobe imetangaza kuwa programu yake ya kuchora, Fresco, sasa inapatikana bure kwa watumiaji wote!

Hapo awali, vipengele vya malipo vilihitaji ada ya kila mwaka ya $9.99, lakini sasa vinapatikana bila gharama.

Fresco inapatikana kwenye iPad, iPhone, na Windows PCs.
🆕 Muonekano wa icon za apps kwenye Android 15 QPR1 Beta 3 umeboreshwa.

Katika Dark Mode, alama zimekuwa na mwanga zaidi, huku Light Mode zikitoa vivuli kidogo.

Huu ni mlinganisho wa Android 15 Beta 2 Vs Android 15 Beta 3 👇👇
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutumia Njia hii | Ku Restore au Ku Reset | Simu Nzima
Hii ni Video yenye njia ya pili inayokupa maelekezo ya Ku Restore au Ku Reset Simu yako ambayo ina changamoto Mbali Mbali na kuifanya isifanye kazi ipasavyo Jifunze njia hii pia.