Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.66K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Learn How to Factory Data Reset Infinix Smart 7 HD Working 100%
infinix smart 7 hd hard reset,how to hard reset infinix
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

MAJI NI HATARI KWENYE UMEME LAKINI YANATUMIKA HIVI KUZALISHA UMEME.
📜 Innovation for the future
we strive to educate you in the world of science. We're delighted to hear your thoughts.

In today's session, we are looking at how hydroelectric power is generated.

We greatly respect all YouTube policies and copyrights. We also appreciate your feedback as it's one way to improve our services.

message at Email: perfectsidetz@gmail.com

subscribe our channel 🔔

KIPINDI...
MAJI NI HATARI KWENYE UMEME LAKINI YANATUMIKA HIVI
📱 Wiki hii watu wanaanza kuagiza simu za Galaxy Z Fold 6 na simu za Z Flip 6

Simu hizi zitatambulishwa rasmi July 10 kwenye #GalaxyUnpacked
🆕 Apple na Meta ya kuweka ushirikiano wa AI.

🔘 Apple inalenga kuongeza vipengele vya AI kwenye bidhaa zake na kuweka Meta AI kwenye vifaa vya Apple kama vile iPhone, iPad na Mac.

#Teknolojia #Apple #Meta #AI
📱 Simu ya Honor Play 60 Plus imetangazwa rasmi!

🔘 Ina chip ya Snapdragon 4 Gen 2, skrini ya 120Hz, betri kubwa ya 6,000 mAh na chaji ya 35W.

🔘 Inatumia MagicOS 8.0 (Android 14) na kamera kuu ya 50MP.
👍1
🪙 Toncoin imezidi kupanda thamani kwa speed baada ya Telegram kuweka mfumo wa Stars, Gifts na watu kutoa na kutuma pesa na zawadi kwa kutumia mfumo wa TON.

↗️ Hivi sasa Toncoin inashika nafasi ya 8 katika Crypto ambazo zina Market Cap kubwa
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Nokia TA 1174 Remove Screenlock Tool R21 Working 100% Free!!
remove security code nokia 105,nokia security code remove,n
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi Redmi Y21 Hard Reset Remove Screenlock Pin Password Or Pattern Without PC
password remove,vivo y21 hard reset wit
Mwana technology usiache kujalibu kutumiabot hili

@CopilotOfficialBot 👈
Hatua kwa hatua👇
Andila swali lako hapo:

Mfano👇

Maisha:

1. Nataka kujua list ya tabia zinazo sababisha matumizi mabaya ya pesa na kusabanisha umasikini.

2. Nataka kujua tabia zinazo sababisha pesa zisitumikeovyo na kusabaisha utajiri.

Afya:

1. Nitabia zipi zinasababisha magonjwa

2. Nitabia zipi zinasabaisha mwili kuwa na afya njema