This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Aliyehusika Kutengeneza App ya @airtanzania_atcl kama ni mtanzania basi amefanya kazi nzuri sana nampa maua yake #techinswahili

HATARI ZA APP ZA MIKOPO .. Jinsi zinavyo vujisha Taarifa zako. Mikopo ya simu
katika video hii nitakueleza hitari iliyopo katika kutumia app za mikopo kwa njia ya simu.
mkopo kwa njia ya simu ya mkononi imekua ni jambo la kawaida kwa siku za hivi karibuni lakini kumetokea kero na usimbufu mkubwa kutokana na baadhi ya wateja kukubwa na utapeli pamoja na kero mbalimbali.
Tazama video hii kuhusu app za mikopo na hatari yake ujifunze kabla hujakopa online

👍1
🆕 Instagram imetangaza vipengele vipya vitatu katika sehemu ya Instagram Notes:
— Maoni/Prompts.
— Ku-like Notes.
— Kutaja rafiki (tag).
— Maoni/Prompts.
— Ku-like Notes.
— Kutaja rafiki (tag).
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Collapsible Quotes- badala ya kuonyesha quotes za message kwa ufupi, imeweka option ya kuongeza ukubwa wa message ambayo mtu ame-quote/reply na inakuwa rahisi kusoma message yote bila kulazimika kwenda juu kuisoma vizuri.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Imeboresha menu ya kuona Quick Actions na kuongeza option.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Messages Effects - imeongeza effects mpya sita kwenye messages ndani ya chats.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Imeweka uwezo wa kutafuta vitu, channels, posts kwa kutumia Hashtag.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Sightful imetangaza ujio wa laptop isiyokuwa na kioo (Screenless) itakayofahamika kama Spacetop G1. Itakuwa kompyuta iliyoboreshwa kimuundo na iliyorahisishwa utumiaji wake kwa kuwa na miwani inayojumuisha "Augmented Reality".
Itaendeshwa kwenye mifumo ya SpaceOS na Qualcomm Snapdragon QCS8550. Spacetop G1 itamuwezesha mtumiaji kutumia Skrini Pepe (Virtual Screens) 100 kwa wakati, hivyo kutoa uwanda mpana wa matumizi ya hali ya juu kuleta ufanisi.
Inatarajiwa kuingia sokoni mwezi Oktoba mwaka huu na itaanza kuuzwa kwa Tsh. 4,428,500 sawa na $1,700 za kimarekani.
#Spacetop #AR #Laptop
Itaendeshwa kwenye mifumo ya SpaceOS na Qualcomm Snapdragon QCS8550. Spacetop G1 itamuwezesha mtumiaji kutumia Skrini Pepe (Virtual Screens) 100 kwa wakati, hivyo kutoa uwanda mpana wa matumizi ya hali ya juu kuleta ufanisi.
Inatarajiwa kuingia sokoni mwezi Oktoba mwaka huu na itaanza kuuzwa kwa Tsh. 4,428,500 sawa na $1,700 za kimarekani.
#Spacetop #AR #Laptop
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Imeweka uwezo wa kuweka caption juu ya picha au video ili kuweka urahisi kwa mtu kuona caption/maelezo ya picha. Itakuwa ni option kwa mtumaji kuamua caption ikae upande upi - chini au juu ya picha.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Imeboresha Call Screen kwa watumiaji wa macOS.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Kama ni mmoja kati ya wale ambapo hawana uelewa wakutosha kuhusu EUNICE ,video hii inakufaa sana #techinswahili

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
CARGO TRANSPORTATION PROJECTS OF THE FUTURE THAT ARE WORTH SEEING
TechZone ►
1) Amazon Robotics
2) JD.com Warehous
CARGO TRANSPORTATION PROJECTS OF THE FUTURE THAT ARE WORTH SEEING
TechZone ►
1) Amazon Robotics
2) JD.com Warehous
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
Soma Kozi Hizi BURE online kupitia simu yako kwa MTANDAO
Unaweza soma moja kati ya course hizi za muhimu online kupitia