Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.68K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ

Teknolojia Na Kilimo: Soma Makala Inayo elezea Teknolojia mpya ambazo vikitumika kwa ufanisi zina weza kubadilisha kilimo chetu!

Teknolojia na vifaa kama Drones, sensorer za udongo, na programu za simu zitasaidia wakulima kupata mavuno bora na kujenga uchumi imara.

Kuelewa ni jinsi ghani hasa teknojia hizi zinazoweza kutumika kwenye kilimo kuleta tija tembelea https://teknolojia.co.tz/kilimo-na-tech-teknolojia-mpya-zitakazo-kufanya-ufanye-kilimo-cha-chenye-tija-na-cha-kisasa-zaidi/

#KilimoSmart #TeknolojiaYaKilimo #UkuajiWaUchumi #Tanzania
🆕 WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza ukubwa wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status.

🔘 WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30!

🟡 Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
🆕 CEO wa kampuni ya Apple - Tim Cook ameuza hisa zake za Apple.

Tim Cook ameuza hisa 196,410 zenye thamani ya dola Milioni 16.4 ambazo ni kama Bilioni 42.

Sometimes ukiona CEO wa kampuni anauza hisa zake ni alert kubwa sana kiuchumi, may be ameona mbali!
Ubuntu imebadilisha logo ya App Center

Mabadiliko haya yameanza katika mfumo mpya wa Ubuntu 24.04.
🆕 TikTok Notes

🚨 TikTok imeanza kuweka sehemu mpya ambayo itakuwa ni maalum kwa post za picha ambazo zina maelezo marefu (kama style ya Notes au Blogs).

- TikTok Notes itakuwa ni app mpya, na post zake pia zitaonekana na kwenye mtandao wa TikTok.

- Pia kuna option ya kuamua post zako za picha zisikae kwenye TikTok Notes.
🆕 Google Search haitaendelea kuwa ni huduma ya BURE

- Google ina mpango wa kuweka features za kipekee kwa kutumia Akili Bandia na kuongeza uwezo mkubwa ambao hautapatikana kwenye mfumo wa kawaida wa Google Search.

- Google imeweka Search Generative Experience (SGE) ambayo inaunganisha mfumo wa kawaida wa Google na mfumo wa AI; lakini haitaweka katika Google Search ya kawaida.

- Pia inasadikiwa Google Search Premium haitakuwa na matangazo mengi kama Google ya kawaida.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Another Sample inayotaja Mlima Kilimanjaro 🏔️
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
AI inajua kuimba matatizo ya kulala usiku bila umeme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

NEW PyCharm Features I Never Knew I Needed (Sticky Lines & New Terminal)
PyCharm has surprised us all with its latest up
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung M127F M12 frp bypass ,testpoint method
Samsung M127F M12 frp bypass ,testpoint method
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel

These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#frp #frpbypass #googleaccount #googleaccountremove #unlock #unlocktool #mobilerepairing #mobile #samsung #tipsandtricks #chimeratool #testpoint
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 HOME SECURITY GADGETS YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse ►

1) 3B Protection




2) PaintCam
(preview)





3) Str
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Python Course Giveaway!
Join the server here:

Become job-ready with Python:


Follow me on Instagram:
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INVENTIONS THAT ALLOW YOU TO LIVE UNDERWATER
Mind Warehouse ►

1) SUPA HUKA


2) MagicJet (preview)


3) SeaTrek
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Finally No #0# New Method 2024 Samsung FRP Bypass Android 14 Google Account Remove Adb Fail
Samsung Android 14 FRP Bypas
KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ

🌟 Teknokona! tunakutakieni waislamu wote Eid Mubarak 🌙 Baraka tele ziwe kwako leo. Twende pamoja na habari za teknolojia zenye kusisimua! 🔥 kwa kutembelea www.teknolojia.co.tz. #EidAlFitr #Teknokona