Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.75K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
May 08, 2023 at 11:16AM
May 08, 2023 at 01:40PM
bongotech255 - ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ

Je umepoteza simu...

bongotech255 - Home | Facebook

๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐˜€๐˜‚๐—ป๐—ด ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ

Je umepoteza simu yako ya Samsung ? Utafanyaje jinsi ya kuipata simu yako ?kwa kuwa simu yako umenunua gharama!! Nitakujuza. Kupoteza au kuibiwa simu kunauma nyie acheni tena mpya daah !! ebu retweet kisha like tuendelee kujifunza ๐Ÿ‘‡ Tunatumia simu kwa ajili ya mawasiliano na watu mbalimbali , kupoteza simu ni moja wapo ya jambo ya changamoto ngumu kwenye maisha Yetu haswa kama simu yako ndo mpya alafu umenunua kwa Gharama kubwa. Ila watumiaji wengi wa Samsung wana bahati sana , maana kwenye simu nyingi za Samsung Kuna feature kuweza kutafuta simu iliyopotea au kuibiwa. Ku...

View original post
bongotech255 - Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania...
bongotech255 - Home | Facebook

Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini. Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.

Amini nakuambia ๐Ÿ‘Š
bongotech255 - Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania...
bongotech255 - Home | Facebook

Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini.

Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa

Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.

Amini nakuambia

Tuishi humu.
May 09, 2023 at 06:05AM
May 09, 2023 at 01:10PM
May 09, 2023 at 01:10PM