Infinix HOT 30, Yenye Prosesa Ya MediaTek Helio G88 - MKali Wa Magemu Kuzinduliwa Aprili 25!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Infinix HOT 30, Yenye Prosesa Ya MediaTek Helio G88 - MKali Wa Magemu Kuzinduliwa Aprili 25!
Infinix kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii @infinixmobiletz inaashiria ujio wa simu hiyo – Infinix Hot 30 — Aprili 25 ya mwaka huu.
bongotech255 - Tatizo la blue screen of death kwenye...
bongotech255 - Home | Facebook
Tatizo la blue screen of death kwenye kompyuta
Ni tatizo linatokea kwenye kompyuta nyingi haswa watumiaji wa window 10 Utakutana na tatizo la Blue screen of death (bsod). Inaitwa Blue screen of death (bsod) kwa jina jingine ni stop message au stop Error. ni warning message inatokea kwenye kompyuta yako baada kutokea tatizo wakati unatumia. Kwenye window 11 mara nyingi inatokea black screen ikiwa na Qr code ila tatizo huwa ndo lile lile kama window 10. Je usababisha na tatizo gani kwenye kompyuta yako 1️⃣ Driver unajua computer driver ni file ambazo zimetengenezwa hardware manufacturer ambayo usaidia hardware na operating system kufanya...
View original post