Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.76K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
4KB
April 25, 2023 at 04:08PM
bongotech255 - Fahamu baadhi ya mambo ukifanya kwenye...
bongotech255 - Home | Facebook

Fahamu baadhi ya mambo ukifanya kwenye Whatsapp utafungiwa akaunti yako siku yoyote jihadhari ??

1️⃣ kutumia WhatsApp mods Mtu yeyote anayetumia WhatsApp mods jihadhari kama vile Whatsapp gb,fm nk unaweza kufungiwa na kufutiwa akaunti yako muda wowote. Ukitumia Whatsapp gb , utakua na uwezo wa kupost status mpaka ya dakika 5, kutuma files kubwa kubwa ,kuchukua status za wenzako na nk lakini Whatsapp watakufungia muda wowote. Kwa kuwa program nyingi za Whatsapp mods usalama wake ni mdogo ni rahisi mtu kudukuliwa kupitia link anazotumiwa pia matangazo mengi ivyo simu yako ni Rahisi kuingiliwa na virus au malware. 2️⃣ kutuma maudhui ya...

View original post
4KB