Teknolojia
131 subscribers
3.83K photos
4.76K videos
94 files
13.4K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Bei SAWA | Ununue Ipi ? TECNO Spark 10 Pro VS Galaxy A13
#snashtz #snashtz #comparison

Websites hatari zilizopo kwenye darkweb | Usijaribu kuingia !! #bongotech255
Please subscribe for more videos 🏌️‍♂️

#darkweb #darkwebwebsite #dangerouswebsite
#bongotech255 #tanzania #darkwebhorrorstories
bongotech255 - Samsung na iphone kuna Nini ??

Sasa...

bongotech255 - Home | Facebook

Samsung na iphone kuna Nini ??

Sasa watumiaji wa iphone wanaweza kuzibadilisha simu zao kuwa katika mfumo wa Samsung Galaxy s23 ni habari ya kusisimua kidogo!! Kampuni ya Samsung imetengeneza tovuti inayoitwa Try galaxy.com ambayo itawataka watumiaji wa simu za iphone kuweza kutumia sample ya mfumo wa Samsung Galaxy s23 series mpya kwenye simu zao. Mtumiaji wa iphone ataingia kwenye tovuti ya try galaxy Kisha ataweza ku scan Qr code baadae utaweza ku install web app kwenye simu yako ya iphone kuweza kuibadilisha kuwa Samsung. Ukifanikiwa kuinstall iyo web app utaweza kutumia Kama vile launcher kwani utakutana na app ya Google message, am...

View original post
bongotech255 - watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo...
bongotech255 - Home | Facebook

watu wengi tunatumia simu za Muda kidogo toka tununue zinaweza fika mpaka miaka 3 au 5 ila unajua ni muhimu kubadilisha simu sio kukaa nayo mpaka ikufie.

Kuna mtu mpaka abadilishe simu ujue kaibiwa au kapoteza lakini simu nazo zinachoka Kuna kipindi ikifika ni lazima ubadilishe ! Sio mpaka ife mkononi mwako. Ishara zipi utajua sasa ni wakati wa kubadilisha simu yako ? 1️⃣Betri Kufa Baada ya kukaa na simu yako Kwa Muda fulani Kuna ile Hali unaona betri imebadilika tabia yake utaona haikai na chaji Muda mwingi Yani kila ukienda Mahali wewe ni wa kutembea na chaji au kuomba chaji. Wengine usema nabadilisha betri lakini ni suluhisho la...

View original post