Tuma Meseji Ya WhatsApp Kwa Namba Ambayo Haipo Katika Simu Yako! #Fahamu #MAUJANJA
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Tuma Meseji Ya WhatsApp Kwa Namba Ambayo Haipo Katika Simu Yako! #Fahamu #MAUJANJA
Mtandao wa WhatsApp bado unakua kwa ukubwa sana, na bado maboresha na vipengele vingi huwa vinaongezwa muda unavyozidi kwenda. Pengine hauna haja ya kuwa na namba ya mtu, labda unataka uone kitu kidogo tuu alafu mmalizane labda unataka akutumie picha ya bidhaa…