InstantView from Source
YouTube
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU AKA
Rapa maarufu kutokea Afrika ya kusini, AKA alipigwa risasi nje ya mgahawa huko Durban tarehe 10 Februari 2023. Simanzi ikiwa bado imetanda mitandaoni, leo kupitia episode hii tunakwenda kutazamia safari ya maisha ya marehemu AKA, kutokea kuwaiga wamarekani…