InstantView from Source
YouTube
HIVI NDIVYO WANYAMA WANAVYOTUONA 😱😱
#wanyama #jewajua
Labda nianze kwa kukuuliza swali, unadhani hivyo unavyoyaona mazingira yako ndivyo yalivyo? Kama ndio,niambie kwanini hatuoni mionzi inayotolewa na simu,bluetooth na wifi..tunajua kabisa kuwa kuna mionzi inasafiri kuja na kutoka kwenye vifaa…
Labda nianze kwa kukuuliza swali, unadhani hivyo unavyoyaona mazingira yako ndivyo yalivyo? Kama ndio,niambie kwanini hatuoni mionzi inayotolewa na simu,bluetooth na wifi..tunajua kabisa kuwa kuna mionzi inasafiri kuja na kutoka kwenye vifaa…
InstantView from Source
YouTube
UTADHANI NI UONGO, HUU NI UKWELI 100% (PART 5)
#jewajua #habari #uongo
Wakati "habari feki" zinazagaa kwa haraka katika mitandao ya kijamii, imekuwa ngumu kutofautisha ukweli na uongo. Lakini, sio vitu vyote vigumu kuaminika ni vya uwongo. Kwa mfano, Unaweza kuniamini ikiwa nikikwambia kwamba kuna nchi…
Wakati "habari feki" zinazagaa kwa haraka katika mitandao ya kijamii, imekuwa ngumu kutofautisha ukweli na uongo. Lakini, sio vitu vyote vigumu kuaminika ni vya uwongo. Kwa mfano, Unaweza kuniamini ikiwa nikikwambia kwamba kuna nchi…
InstantView from Source
YouTube
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU RAY VICENT KIGOSI
#raykigosi #kanumba
Unapozungumzia mapinduzi ya filamu nchini Tanzania huwezi kuacha kulitaja jina la Vicent Kigosi almaarufu kama Ray. Yeye pamoja na marehemu steven Kanumba walichangia kuleta mabadiliko makubwa katika sanaa ya uigizaji na ni moja wa waigizaji…

bongotech255 - Moja kati ya jambo zuri Kwa watumiaji wa...
bongotech255 - Home | Facebook
Moja kati ya jambo zuri Kwa watumiaji wa simu za Android ni uwezo wa kupakua emalutor mbalimbali na kucheza game kwa mfumo wa pad kupitia simu.
Watu wengi waliku wana enjoy kupitia hii njia lakini sasa Kuna taarifa nzuri zaidi kuwa simu yako itaweza kupokea game za playstation na kucheza. Program ya vita3k itaanza kupatikana rasmi jumapili, utaweza Kuinstall kwenye simu yako baada ya hapo utaweza kucheza game za playstation Vita. Developer macdu amesema program Yao ya vita3k haitopatikana kwenye soko la playstore isipokuwa kupitia tovuti ya discord channel utaweza kuipata iyo app pamoja na update zake. Ila hakikisha simu yako imekidh...
View original post