Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 UMEDANGANYWA NA MOVIE (PART 2)
#Movie #Uongo
Katika episode hii nitakwenda kuchambua uongo ambao dhahiri movie za Hollywood zimekuwa zikitudanganya kiasi kwamba baadhi yetu wanaamini kuwa ni kweli..

0:00​ | Introduction
0:40​ | unaweza Kuvuta Pini ya Grenade kwa kama RAMBO?
1:28​ | unaweza kuokota grenade na kuirusha tena? James Bond
2:23​ | Mlipuko wa bomu - Man on fire movie
3:08 | Je, unaweza kupiga risasi kufuli hadi kufunguka? FBI movies
3:46 | Hivi Bunduki zenye Silencers ziko kimya kweli?
4:33​ | Je, mambomu ya kutegwa ardhini 'Landmines' hutoa sauti kabla ya kufyatuka?
4:58​ | Je! risasi huondolewa kila wakati?
6:08 | Vita za zamani ni za kikatili zaidi?
6:58​ | Unaweza Kuruka kupitia Dirisha la Kioo Bila kuumia?
7:46​ | Watu Wanaozama Wanapiga kelele?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 UMEDANGANYWA NA MOVIE (PART 3)
#Movie #Uongo
Katika episode hii nitakwenda kuchambua uongo ambao dhahiri movie za Hollywood zimekuwa zikitudanganya kiasi kwamba baadhi yetu wanaamini kuwa ni kweli..

0:00​ | Introduction
0:37​ | Je ni kweli sniper ni jeshi la mtu mmoja?
1:28​ | Je ni kweli vitani wanajeshi wanafyatuliana risasi bila kuchoka?
2:23​ | Je unatumia asilimia 10 tu ya akili yako?
3:18 | Je ni kweli kidole kilichokatwa kinafungua mlango?
4:03 | Je ni kweli sayari ya Mars ni nyekundu?
4:53​ | Je ni kweli risasi inaweza kukurusha?
5:24​ | Je ni kweli Casino zinaendeshwa na wahalifu?
6:10 | Je ni kweli bulletproof vest inazuia risasi zote?
6:48​ | Je, ni kweli Ndege haiwezi kutua bila injini?
7:37​ | Je ni kweli kuna soulmate mmoja tu?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James