InstantView from Source
YouTube
MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU RAISI WA UKRAINE (VOLODYMYR ZELENSKYY)
#zelenskyy #ukraine Volodymyr Zelensky ndiye rais wa sita wa Ukraine tangu Mei 20, 2019. Mr Zelensky alifanikiwa kuingia madarakani kwa ushindi wa kishindo bila ya uzoefu katika siasa, maisha yake yote alijikita zaidi katika sekta ya burudani kama muigizaji…
bongotech255 - Watumiaji wengi wa simu za Samsung Galaxy...
bongotech255 - Home | Facebook
Watumiaji wengi wa simu za Samsung Galaxy wamekua wakisumbuliwa na tatizo la simu zao kuingiza chaji au wakati mwingine inapeleka Mdogo Mdogo.
Unajikuta unatumia Muda mwingi kuchaji simu kuliko kuitumia kabla haijafa mikononi mwako Leo nakuambia jinsi kuondokana na tatizo la simu kushindwa kupeleka chaji ? 👇 1) ondoa Kava Kuna baadhi ya makava usababisha simu kutopeleka chaji vizuri haswa yale ambayo sio original upelekea USB kushindwa kupita vizuri kwa ajili ya kupitisha chaji kwenye simu we ondoa Kava la simu yako. 2) subiria kwa dakika kadhaa Labda umetumia simu imebaki chaji kidogo Sana unataka kuchaji haitaki we fanya kuipumzi...
View original post

👍1
InstantView from Source
YouTube
MAAJABU YA NAMBA 9 (NI UCHAWI AMA?)
Sote tunajua,Kawaida Mtoto hukaa tumboni mwa mama yake kwa muda wa miezi 9 kabla ya kuzaliwa,hujawahi jiuliza kwa nini tisana sio 10? Naam kupitia episode hii tunakwenda kutazamia mambo kadhaa yanayohushiwa na imani na hesabu juu ya namba 9
Episode za Newzfid…
Episode za Newzfid…
InstantView from Source
YouTube
VITU 10 VINAVYOPATIKANA JAPAN TU!
#japan #nchi
Kwa kuwa Japan ni nchi iliyojitenga sana na nchi zingine, ina utamaduni ambao kwa asilimia kubwa haujaathiriwa na haujachanganyikana na tamaduni za majirani zake. Japan ndio nchi ambayo ilianzisha utamaduni wa maninja na samurai, na leo hii Japan…