Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.48K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
bongotech255 - Simu nyingi zimekua zikitumika sanaa saa...
bongotech255 - Home | Facebook

Simu nyingi zimekua zikitumika sanaa saa 24 Kwa siku, wiki , mpaka mwezi. Hii kitu sio nzuri kabisa, sio kwako tu kuanzia mazingira mpaka simu yenyewe.

Bado unajiuliza kuna Umuhimu wa kuzima simu Kwa siku , wiki au mwezi ? Ndiyo ni muhimu angalau mara moja moja nyakati za usiku unajua kwanini ? 1️⃣ Ni salama zaidi kwako Tunatumia program mbalimbali Kila mara kwenye simu , baadhi zinatumia nafasi kubwa wakati unazitumia Kuna temporary data ujihifadhi kwenye simu yako kutokana na wewe kutumia app fulani labda insta, Fb nk. Kupitia kuzima simu yako upelekea kuondoa zile temporary data na kufanya simu kuwa na kasi. 2️⃣ Inapunguza mionzi...

View original post
bongotech255 - Simu nyingi zimekua zikitumika sanaa saa...
bongotech255 - Home | Facebook

Simu nyingi zimekua zikitumika sanaa saa 24 Kwa siku, wiki , mpaka mwezi. Hii kitu sio nzuri kabisa, sio kwako tu kuanzia mazingira mpaka simu yenyewe.

Bado unajiuliza kuna Umuhimu wa kuzima simu Kwa siku , wiki au mwezi ? Ndiyo ni muhimu angalau mara moja moja nyakati za usiku unajua kwanini ? 1️⃣ Ni salama zaidi kwako Tunatumia program mbalimbali Kila mara kwenye simu , baadhi zinatumia nafasi kubwa wakati unazitumia Kuna temporary data ujihifadhi kwenye simu yako kutokana na wewe kutumia app fulani labda insta, Fb nk. Kupitia kuzima simu yako upelekea kuondoa zile temporary data na kufanya simu kuwa na kasi. 2️⃣ Inapunguza mion...

View original post
Waiting for instantView...
bongotech255 - Natumai mwaka 2022 umejifunza mengi kuhusu...
bongotech255 - Home | Facebook

Natumai mwaka 2022 umejifunza mengi kuhusu teknolojia kwenye page Yetu 😌 Tulipokosea mtusamehe

Unalipi la kusema kuhusu page Yetu kwa mwaka 2023 mdau wetu toa maoni yako , ushauri na kitu chochote kipi cha kuongeza au kupunguza !! Vitu ambavyo umeridhika au bado ujaridhika kuhusu ubora wetu wa sauti, picha , Maelezo nk tuambie tujue 👇 Maana teknolojia ni Yetu sote