InstantView from Source
YouTube
MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU AYRA STARR
Ayra Star,binti mdogo aliyeanza kuwika kwenye tansia ya mziki wa Nigeria tangu akiwa na umri wa miaka 17,hivi sasa ni moja ya wasanii wakubwa na wenye mafanikio makubwa kimataifa. Kupitia episode hii tunakwenda kutazamia safari yake ya kimziki,kuanzia kuwa…
bongotech255 - Home | Facebook
Jipatie controller kwa ajili ya Game kwenye laptop au desktop yako kwa bei kitonga kabisa
Gharama yake ni 16000 tu
Orginal ikifa rudisha ndani ya mwezi karibuni kwa @hyatzcomputers mjipatie bidhaa Mbalimbali kuhusu laptop au desktop … See more
Elf 16 moja au mbili?
Jipatie controller kwa ajili ya Game kwenye laptop au desktop yako kwa bei kitonga kabisa
Gharama yake ni 16000 tu
Orginal ikifa rudisha ndani ya mwezi karibuni kwa @hyatzcomputers mjipatie bidhaa Mbalimbali kuhusu laptop au desktop … See more
Elf 16 moja au mbili?
InstantView from Source
YouTube
HARMONIZE NI MFALME MPYA WA BONGOFLEVA?
#harmonize #diamondplatnumz #marioo
Wasanii wa kiume top 3 Tanzania ni Diamond, Harmonize na Marioo. Kupitia episode hii tunakwenda kutumia takwimu wazi kuweza kumuibua mfalme wa sasa mziki wa Bongo fleva
00:00 | Introduction
00:36 | Historia ya Bongo fleva…
Wasanii wa kiume top 3 Tanzania ni Diamond, Harmonize na Marioo. Kupitia episode hii tunakwenda kutumia takwimu wazi kuweza kumuibua mfalme wa sasa mziki wa Bongo fleva
00:00 | Introduction
00:36 | Historia ya Bongo fleva…
bongotech255 - Home | Facebook
Wireless keyboard Kali kabisa
Karibu ujipatie Toka @hyatzcomputers @wikeltechnologies_tz
Warranty miezi SITA ikifa rudisha
W… See more
hard disc ya gb 500 unauzaje
Mc Toshy kama external ni 75K boss
Wireless keyboard Kali kabisa
Karibu ujipatie Toka @hyatzcomputers @wikeltechnologies_tz
Warranty miezi SITA ikifa rudisha
W… See more
hard disc ya gb 500 unauzaje
Mc Toshy kama external ni 75K boss
ChatGPT ni nini? Fahamu kuhusu teknolojia hii ya #AI "Akili Bandia". #Teknolojia
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
ChatGPT ni nini? Fahamu kuhusu teknolojia hii ya #AI "Akili Bandia". #Teknolojia
ChatGPT ni akili bandia/AI ambayo imejifunza mifano mingi ya taarifa/data ya maneno, hii imeifanya iweze kuelewa swali na kutoa majibu yenye asili kama ya binadamu.