Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.01K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
bongotech255 - Unajua Usb unayotumia kila siku kuchaji...
bongotech255 - Home | Facebook

Unajua Usb unayotumia kila siku kuchaji simu ukiweka kwenye kompyuta yenye virusi unaweza kuathilika pia kwenye simu yako.

Kuna kirusi kinaitwa ๐˜๐—ฟ๐—ผ๐—ท๐—ฎ๐—ป ๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ ni kirusi ambacho mara nyingi unakikuta kwenye kompyuta kinajitengeneza baada kupakua file au kitu chochote mtandaoni chenye kirusi. Kinajiweka chenyewe kwenye kompyuta yako bila wewe kujua na kujipa jina la Dll files. Kikikupata icho kirusi kinatengeneza mfumo Kinachojiendesha mwenyewe na kuifanya kompyuta yako๐Ÿ‘‡ โ€ข ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐˜‡๐—ถ๐˜๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ โ€ข ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐˜ ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜„๐—ฒ โ€ข ๐—ธ๐˜‚๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ป๐—ธ ikiwa simu yako umeunganisha na USB kwa ajili y...

View original post
bongotech255 - ๐—ง๐—ฒ๐—ฐ๐—ป๐—ผ wameachia simu mpya aina ya Phantom...
bongotech255 - Home | Facebook

๐—ง๐—ฒ๐—ฐ๐—ป๐—ผ wameachia simu mpya aina ya Phantom X2 5G tarehe 7 desemba ila muda sio mrefu itaanza kupatikana ulimwenguni kote.

Nini kilichopo ndani yake ๐Ÿ‘‡ Specs: ๐Ÿ‘‰ kioo size 6.5inches + Amoled Display + 120hz & 500 units ๐Ÿ‘‰ Processor mediaTek dimensity 9000 ๐Ÿ‘‰ Ram 8Gb + 256 storage no Sd card ๐Ÿ‘‰ Main Camera 50mp + telescope 50mp + ultra wide 13mp with optical zoom Pdaf ๐Ÿ‘‰ Selfie Camera 32mp + video resolution 4K@30/60fps, 1080p@30 ๐Ÿ‘‰ Battery li-Po 5160mah with support 45W fast charging ๐Ÿ‘‰ Android version 12 | Hios 12 version ๐Ÿ‘‰Dollar 587 sawa na Tsh 1.3milion/= ๐—ก๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฏ๐—ผ๐˜… ๐ŸŽ Hii ni simu Kali sana kwenye matol...

View original post