Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.01K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
bongotech255 - Unajua Usb unayotumia kila siku kuchaji...
bongotech255 - Home | Facebook

Unajua Usb unayotumia kila siku kuchaji simu ukiweka kwenye kompyuta yenye virusi unaweza kuathilika pia kwenye simu yako.

Kuna kirusi kinaitwa ๐˜๐—ฟ๐—ผ๐—ท๐—ฎ๐—ป ๐—ฑ๐—ฟ๐—ผ๐—ถ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ ni kirusi ambacho mara nyingi unakikuta kwenye kompyuta kinajitengeneza baada kupakua file au kitu chochote mtandaoni chenye kirusi. Kinajiweka chenyewe kwenye kompyuta yako bila wewe kujua na kujipa jina la Dll files. Kikikupata icho kirusi kinatengeneza mfumo Kinachojiendesha mwenyewe na kuifanya kompyuta yako๐Ÿ‘‡ โ€ข ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐˜‡๐—ถ๐˜๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ โ€ข ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ถ ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐˜ ๐˜†๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜„๐—ฒ โ€ข ๐—ธ๐˜‚๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ป๐—ธ ikiwa simu yako umeunganisha na USB kwa ajili y...

View original post