bongotech255 - Hatimaye ule msemo unaosema sema Subira...
bongotech255 - Home | Facebook
Hatimaye ule msemo unaosema sema Subira yavuta kheri unafanya kazi bhana. ๐
Moja Kati ya features Watumiaji wengi wa ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐๐ฝ๐ฝ walikua Wanaisubiri kwa hamu ni uwezo wa kutumia WhatsApp Moja kwenye simu mbili tofauti. Hatimaye ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐๐ฝ๐ฝ wameamua kuileta features ya kuweza kutumia akaunti Moja ya Whatsapp kwenye simu mbili tofauti. Mwanzoni ilikua mtu akihitaji kutumia ๐ช๐ต๐ฎ๐๐๐๐ฝ๐ฝ Moja kwenye simu nyingine ilikua haiwezekani, Mpaka hatumie mfumo wa ku scan link device (WhatsApp web)ila sasa watumiaji wa WhatsApp. Watakua na uwezo wa kutumia akaunti zao za WhatsApp kwenye simu zaidi ya Moja kama ilivyo Instagram, Face...
View original post

InstantView from Source
  
  YouTube
  
  ELON MUSK ATANGAZA VITA
  #elonmusk #twitter #apple #habari 
Baada ya bilionea anayeongoza kwa utajiri duniani hivi sasa,Elon Musk kununua Twitter na kujiteua mwenyewe kama Mkurugenzi Mtendaji, Musk amefanya mabadiliko yenye utata.Ok, ni wazi kuwa Musk alilenga kuinunua Twitter naโฆ
  Baada ya bilionea anayeongoza kwa utajiri duniani hivi sasa,Elon Musk kununua Twitter na kujiteua mwenyewe kama Mkurugenzi Mtendaji, Musk amefanya mabadiliko yenye utata.Ok, ni wazi kuwa Musk alilenga kuinunua Twitter naโฆ
InstantView from Source
  
  YouTube
  
  COSTA TITCH | MAMBO 10 USIYOYAJUA
  Costa Titch ndiye habari ya mjini hivi sana yaani huko Afrika ya kusini yeye ni mmoja wa wasanii wanaotamba na bila shaka mchango wake katika tasnia ya burudani ya Afrika Kusini unaonekana hata nje ya Afrika. Costa ni mfano mzuri wa kijana mpambanaji, maanaโฆ
  ๐ @Huduma  Google Pixel Fold Official Video, Specs, Leaks, News, Trailer, Features, Release Date, Google Fold
  
  YouTube
  
  Google Pixel Fold Official Video, Specs, Leaks, News, Trailer, Features, Release Date, Google Fold
  Google Pixel Fold Official Video, Specs, Leaks, News, Trailer, Features, Release Date, Google Fold - 
https://bit.ly/3F0pbff
Read: https://9to9trends.com/google-pixel-fold-price-release-date-camera-specs/
Try New Game: https://play.google.com/store/appsโฆ

bongotech255 - Telegram ni Moja wapo ya program Bora sana...
bongotech255 - Home | Facebook
Telegram ni Moja wapo ya program Bora sana ulimwenguni watu utumia kwenye kuchati kutuma vitu kama vile Whatsapp.
Mtumiaji wa telegram anaweza kutumia kitu chenye ukubwa wa 4Gb bila shida yoyote kuliko Whatsapp. Telegram iliachiwa mwaka 14 August 2014 Mpaka kufikia 2021 ilikua na jumla ya watumiaji milioni 500 ulimwenguni. Kwenye telegram kuna tabia fulani hivi ya kupata ujumbe kila Nyakati wakati mtu uliyekua na namba yake anapojiunga kwenye telegram basi wewe unapokea ujumbe fulani amejiunga telegram ?? Najua inakera sana sio !! ๐ Unajikuta una namba za simu za watu zaidi ya 1000 alafu wanajiunga telegram kila siku basi Unaji...

bongotech255 - Unajua Usb unayotumia kila siku kuchaji...
bongotech255 - Home | Facebook
Unajua Usb unayotumia kila siku kuchaji simu ukiweka kwenye kompyuta yenye virusi unaweza kuathilika pia kwenye simu yako.
Kuna kirusi kinaitwa ๐๐ฟ๐ผ๐ท๐ฎ๐ป ๐ฑ๐ฟ๐ผ๐ถ๐ฝ๐ฎ๐ธ ni kirusi ambacho mara nyingi unakikuta kwenye kompyuta kinajitengeneza baada kupakua file au kitu chochote mtandaoni chenye kirusi. Kinajiweka chenyewe kwenye kompyuta yako bila wewe kujua na kujipa jina la Dll files. Kikikupata icho kirusi kinatengeneza mfumo Kinachojiendesha mwenyewe na kuifanya kompyuta yako๐ โข ๐ธ๐๐๐ฎ ๐ป๐๐ถ๐๐ผ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ โข ๐ธ๐๐ท๐ถ ๐ฟ๐ฒ๐๐๐ฎ๐ฟ๐ ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ๐๐ฒ โข ๐ธ๐๐ด๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ด๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ป๐ธ ikiwa simu yako umeunganisha na USB kwa ajili ya...