Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.01K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
bongotech255 - Elon mask ana mpango wa kuja kufunga...
bongotech255 - Home | Facebook

Elon mask ana mpango wa kuja kufunga intaneti ya starlink nchini Tanzania kuanzia mwakani 2023 ili kuja kuongeza maendeleo ya kiuchumi ya kidigitali.

SpaceX ndiyo wamiliki wa huduma iyo, huwaunganisha watu na kufanya mawasiliano kwa kutumia intaneti ya maelfu ya satellite yaliyopo angani. Huduma hii mpya ya intaneti itachochea kupatikana kwa maendeleo ya kidigitali iwapo itauzwa kwa bei nzuri na kutoa intaneti yenye Kasi zaidi ya bei nafuu. Kupitia tovuti yao ya starlink wamesema wana mpango wa kuileta huduma iyo kuanzia kati January na march inategemea na mamlaka wamelipokeaje. Mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano Tanzania (TCRA) Wamese...

View original post
Update je browser
InstantView from Source
Update je browser
InstantView from Source
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
How does a mobile charger work? SMPS with Opto-Coupler.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
How does a mobile charger work? SMPS with Opto-Coupler.
bongotech255 - duniani Kuna apps nyingi sana sizani kama...
bongotech255 - Home | Facebook

duniani Kuna apps nyingi sana sizani kama umeshawahi kutumia zaidi ya app 20 kwenye simu yako ?

sasa Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwa mwezi November 2022 ๐Ÿ‘‡ 1๏ธโƒฃ ๐—ข๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฑ๐˜‚๐—ฏ Kama unapenda sana vichekesho na burudani basi hii app nzuri kwako, maana utaweza kutengeneza memes zako kwa mfumo wa video za sekunde kadhaa na kuweza kuingizia sauti yako. Watu wengi watumia hii app hata mwaisaa ๐Ÿฅฑ mtu mbad. 2๏ธโƒฃ ๐—š๐˜‚๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—น๐—น๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ถ๐—น Kuna msemo unasema mtandao wako ndiyo thamani yako.karibia mitandao mingi ya kijamii au tovuti nyingi ukitaka kuingia kuwa member watakuambia lazima ujisajili. Sasa sio kila sehemu kuweka Email y...

View original post
bongotech255 - duniani Kuna apps nyingi sana sizani kama...
bongotech255 - Home | Facebook

duniani Kuna apps nyingi sana sizani kama umeshawahi kutumia zaidi ya app 20 kwenye simu yako ?

sasa Leo nakuletea app Bora za kuwa nazo kwa mwezi November 2022 ๐Ÿ‘‡ 1๏ธโƒฃ ๐—ข๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฑ๐˜‚๐—ฏ Kama unapenda sana vichekesho na burudani basi hii app nzuri kwako, maana utaweza kutengeneza memes zako kwa mfumo wa video za sekunde kadhaa na kuweza kuingizia sauti yako. Watu wengi watumia hii app hata mwaisaa ๐Ÿฅฑ mtu mbad. 2๏ธโƒฃ ๐—š๐˜‚๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—น๐—น๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ถ๐—น Kuna msemo unasema mtandao wako ndiyo thamani yako.karibia mitandao mingi ya kijamii au tovuti nyingi ukitaka kuingia kuwa member watakuambia lazima ujisajili. Sasa sio kila sehemu kuweka Email yak...

View original post