Samsung Yatabiri Kifaa Cha Kwanza Cha Kujikunja Kutoka Apple Hakitakua iPhone!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph

Kwa upande wa Samsung ndio ambao wameliteka soko hili katika simu janja, makampuni mengine mengi tuu yapo ambayo yana simu za aina hii—vipi kuhusiana na Apple?
bongotech255 - Tanzania ni Moja wapo ya nchi yenye watu...
bongotech255 - Home | Facebook
Tanzania ni Moja wapo ya nchi yenye watu wengi wenye vipato vya chini, maisha ya watu wengi ni ya kawaida sana kumekua na changamoto ya familia nyingi kutokuwa na mahitaji muhimu kama maji , chakula na mavazi.
Jambo linalopelekea wazazi wengi kushindwa hata kuwahudumia watoto wao juu ya mahitaji muhimu. Wakati Dunia inapambana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Kuna mtanzania mmoja anaitwa Innocent James akiwa na wenzake wamefanikiwa kutengeneza kiwanda cha @somabagstz chenye kubuni mabegi yenye mfumo wa umeme wa jua ili kuwasaidia Watu wa vijijini kupata mwanga. Mabegi hayo yametengenezwa kwa kutumia takataka mbalimbali kama vile virob...
View original post

bongotech255 - Moja kati ya kampuni inayofanya vyema...
bongotech255 - Home | Facebook
Moja kati ya kampuni inayofanya vyema Katika nchi za Kiafrika, India ni Infinix wamekua washindani wakubwa Sana kwenye soko la simu ulimwenguni.
Infinix wamekua wakitoa simu Bora | nzuri zenye muonekano Poa sana kwa bei nafuu nakufanya watu wengi wafurahie matumizi ya simu. Hivi punde Infinix ilizindua rasmi simu mpya aina ya Infinix ZERO Ultra, Infinix ZERO Ultra imejizolea sifa ya kuwa simu ya kwanza duniani kuchaji simu kwa dakika chache 12min kwa fast charger ya wat 180. Kwa Sasa 𝗜𝗻𝗳𝗶𝗻𝗶𝘅 𝗭𝗘𝗥𝗢 𝗨𝗹𝘁𝗿𝗮 imeleta ushindani mkubwa katika soko la simu kwa makampuni ya simu makubwa duniani kama Samsung na nyenginezo. Moja na t...

Elon Musk na Twitter: Ni nini kitafuata katika mtandao wa kijamii maarufu kwa mazungumzo/mijadala?
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Elon Musk na Twitter: Ni nini kitafuata katika mtandao wa kijamii maarufu kwa mazungumzo/mijadala?
Haina ubishi kuna asilimia kubwa ya wafanyakazi wa mtandao huo wa kijamii ambao si mashabiki sana wa mitazamo ya Bwana Musk, tokea aonyeshe nia ya kuununua mtandao huo tayari wafanyakazi wengi walianza kuonesha kutopendezwa na jambo hilo. Hali ilikuwa mbaya…