InstantView from Source
YouTube
KANYE WEST ARUDI TENA 😂
Rapa Kanye West, anayejulikana rasmi kama Ye, hajawahi ishiwa skendo na vitimbwi vya mitandaoni. Wiki chache zilizopita, Kanye West, aliitikitisa mitandao ya kijamii baada ya kuvaa tshirt yenye ujumbe ulioandikwa White lives matter na baadaye, kwenye mitandao…