Teknolojia
133 subscribers
3.84K photos
5.02K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Tech
Zuia Meseji za Matangazo Android

Zuia Meseji au SMS za Matangazo kwenye simu yako ya Androidl
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Ushauri wangu juu ya Computer nzuri Content Creator #shorts
Ukiwa Content Creator ni LAZIMA kuwa na PC yenye Nguvu za kutosha
Nikimaanisha Processor, Graphics card, Ram, Storage ziwe zimefikia matakwa ya Program husika
Mfano Premiere Pro na After effects kwenye Ram Jitahidi iwe 16Gb. Na Njia bora ya kupata pc yenye nguvu ni kuunda Custom PC hu uki upgrade kidogo kidogo kadri bajeti inavyoruhusu. #youtubeshorts