Kwanini Tanzania Inastahili Kiti Cha Baraza la Umoja wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU).
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Kwanini Tanzania Inastahili Kiti Cha Baraza la Umoja wa Kimataifa wa Mawasiliano (ITU).
Teknolojia ya mawasiliano ya habari ndio kitovu cha maendeleo yote katika uchumi hai wa ulimwengu. Teknolojia inabadilika kwa kasi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayatambua mabadiliko ya haraka yanayotokea sokoni. Katika ulimwengu wa sasa, ni nadra kupata…
Simu Za Video Katika Makundi Ya WhatsApp Kuwa Na Link Ya Kujiunga Kwa Wengine!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Simu Za Video Katika Makundi Ya WhatsApp Kuwa Na Link Ya Kujiunga Kwa Wengine!
Katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp kuna vipengele vingi sana ambavyo vimeongezeka na vyote ni vikali, na sasa wanakuja na kipengele cha kuweza kuunda link ya kujiunga katika simu za video za makundi.