Pengine Apple Wataachana Na Uzalishaji Wa iPhone 11, iPhone 12 Mini Na iPhone 13 Pro Kisa iPhone 14!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Pengine Apple Wataachana Na Uzalishaji Wa iPhone 11, iPhone 12 Mini Na iPhone 13 Pro Kisa iPhone 14!
Japokuwa Apple wenyewe bado hawajaweka wazi jambo hili wenyewe, zinazosambaa sasa ni fununu tuu kwamba baadhi ya iPhone za nyuma zitaachwa kutengenezwa tena ili kupisha mauzo ya simu hizi mpya.
👍1