META: Watumiaji Wa Instagram Na Uwezo Wa Kutuma Reels Moja Kwa Moja Facebook!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
META: Watumiaji Wa Instagram Na Uwezo Wa Kutuma Reels Moja Kwa Moja Facebook!
Hata whatsApp wakati unatumia ‘status’ kuna kipengele cha kutuma ‘status’ hiyo moja kwa moja katika mtandao wa Facebook kwa sasa Meta inadai ni zamu ya Instagram na Facebook kwenye upande wa Reels
Wimbo ‘Rhythm Nation’ Wa Janet Jackson Waua Baadhi Ya Kompyuta Za Windows XP!
InstantView from Source
InstantView from Source
Telegraph
Wimbo ‘Rhythm Nation’ Wa Janet Jackson Waua Baadhi Ya Kompyuta Za Windows XP!
Hii imerepotiwa na kampuni ya Microsoft kwa kusema kuwa wimbo huo umekua ukileta shida katika baadhi ya computer zinazotumia Windows XP.