Teknolojia
@huduma
141
subscribers
3.87K
photos
5.51K
videos
94
files
13.7K
links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli
👋
Download Telegram
Join
Teknolojia
141 subscribers
Teknolojia
0:44
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by
@InstantMediaBot
Teknolojia
WhatsApp Desktop: Uwezo wa kupiga simu kwa njia ya video
InstantView
from
Source
Telegraph
WhatsApp Desktop: Uwezo wa kupiga simu kwa njia ya video
Mojawapo ya vitu ambavyo nilikuwa nawaza vije kutokea ni uwezo wa mtu kufanya mazungumzo ya WhatsApp kwa njia ya picha jongefu (mnato) kupitia kompyuta. Kitu hicho sasa kinawezekana! Haikuwa rahisi mimi kukubali kuwa siku hizi watumiaji wa WhatsApp Deskop…
Teknolojia
Washa Tochi ya Smartphone kwa Kutingisha Simu
InstantView
from
Source
Telegraph
Washa Tochi ya Smartphone kwa Kutingisha Simu
Najua ni wazi kuwa kila mtu ameshawahi kutembelea kwenye giza, iwe wewe ni mfanyakazi na umechelewa sana kurudi nyumbani au umetoka kwenye miangaiko yako na mvua imenyesha na kuna giza, basi hapo ndipo unapokuja umuhimu wa makala hii. Leo nitaenda kuongelea…
Teknolojia
TECNO CAMON 19 Pro Yaishinda Vikali Infinix NOTE 12 VIP
InstantView
from
Source
Telegraph
TECNO CAMON 19 Pro Yaishinda Vikali Infinix NOTE 12 VIP
Mapema Julai, Kampuni ya Simu ya TECNO ilitangaza uzinduzi wa simu yake ya CAMON 19 iliyo na ubunifu wa picha kali za usiku kwa camera yake ya 64MP, bezel nyembamba ya 0.98mm na vipengele vingine vya kuvutia vinavyopendwa na mashabiki. Muonekano wa TECNO…

[Video] diai (TikTok)
Telegram
1:36
⓵⓶⓷
diai (TikTok)
High quality video #iphonetricks #iphonetanzania #iphonekenya
Teknolojia
[Video] diai (TikTok)
Telegram
1:00
⓵⓶⓷
diai (TikTok)
Internet au Hotspot #iphonetricks #iphonetanzania #iphonekenya
Teknolojia
[Video] diai (TikTok)
Telegram
0:46
⓵⓶⓷
diai (TikTok)
Okoa bando lako #iphonetricks #iphonetanzania #iphonekenya
Teknolojia
[Video] diai (TikTok)
Telegram
2:28
⓵⓶⓷
diai (TikTok)
Ficha photos na videos kwa kutumia calculator hii, Hide photos #iphonetricks #iphonetanzania #iphonekenya #android #androidhacks
Teknolojia
[Video] diai (TikTok)
Telegram
0:44
⓵⓶⓷
diai (TikTok)
#voiceeffects Hakikisha hili kabla ya kununua Iphone #iphonetricks #iphonetanzania #iphonekenya
Teknolojia
Njia Mpya za Kutumia Browser ya Google Chrome (Android)
InstantView
from
Source
Telegraph
Njia Mpya za Kutumia Browser ya Google Chrome (Android)
Na hayo ndio maujanja niliyo kuandalia kwa siku ya leo, kama kuna mahali umekwama unaweza kuuliza kupitia sehemu ya maoni hapo chini pia kwa maujanja zaidi hakikisha unapitia hapa kujifunza jinsi ya kutumia app za kulipia za android bure kabisa.
Teknolojia
Washa tochi/kamera ya kwenye simu janja kwa kuitikisa tuu
InstantView
from
Source
Telegraph
Washa tochi/kamera ya kwenye simu janja kwa kuitikisa tuu
Uwepo wa taa pembeni ya kamera imekuwa na kazi zaidi ya moja na wale ambao tunapenda kuongeza ubora wa picha kabla ya kupiga ama inatokea upo sehemu yenye mwanga hafifu na unahitaji msaada wa kuona kitu fulani vizuri hakika tunashukuru kwa simu janja zetu…
Teknolojia
Mapato Ya Meta (Wamiliki Wa Facebook) Yashuka!
InstantView
from
Source
Telegraph
Mapato Ya Meta (Wamiliki Wa Facebook) Yashuka!
Katika robo ya pili ya mwaka inaonyesha kuwa mapato ya kampuni ya Meta yameshuka kwa asilimia 1 ambayo hata hivyo ilikua ni chini kabisa ya matarajio.
Teknolojia
Toleo jipya la Windows huenda likatoka mwaka 2024
InstantView
from
Source
Telegraph
Toleo jipya la Windows huenda likatoka mwaka 2024
Taarifa zinasema kwamba Microsoft wana mkakati wa kufanya mabadiliko katika utaratibu wao wa kutoa maboresho ya mfumo na matoleo mapya. Hili lilionekana ambapo kutoka toleo la Windows 8 mpaka Windows 10 ilipita zaidi ya miaka miwili. Kutoka Windows 10 hadi…
Teknolojia
Pengine GTA 6 Itakuja Na Muhusika Mkuu Wa Kike!
#GTA
InstantView
from
Source
Telegraph
Pengine GTA 6 Itakuja Na Muhusika Mkuu Wa Kike! #GTA
Mpaka kaunzishwa kwake gemu hii mpaka sasa inafikisha matoleo 15 tofauti tofauti katika gemu hii na hivi karibuni inasemekana kuwa inakuja GTA 6.
Teknolojia
[Video] diai (TikTok)
Telegram
1:38
⓵⓶⓷
diai (TikTok)
Free mic App #iphonetricks #android #iphonetanzania #iphonekenya #tecno #samsung #xiaomi
Teknolojia
Gmail (Katika Kompyuta) Yapata Muonekano Mpya!
InstantView
from
Source
Telegraph
Gmail (Katika Kompyuta) Yapata Muonekano Mpya!
Google ilitangaza kubadiisha muonekano wa Gmail tangia mwezi januari mwaka huu, na toleo hilo likatoka lakini kwa baadhi ya watumiaji waliochaguliwa.
Teknolojia
Twitter Mbioni Kuja Na Huduma Ya Status!
InstantView
from
Source
Telegraph
Twitter Mbioni Kuja Na Huduma Ya Status!
Twitter imekua ikiaja na vipengele vipya kadha wa kadha, ni siku chache nyuma tuu tulaindika kuhusiana na huduma yake mpya ya Co-Tweet.
Teknolojia
[Video] diai (TikTok)
Telegram
2:03
⓵⓶⓷
diai (TikTok)
Watch movie online for free #tiktoktanzania #tiktokkenya #movie #tiktokindia