Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.51K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa

Vitu vya kuzingatia kabla haujanunua Simu, Inaendelea kwenye Yutube channel ya Simukitaa #simukitaa #sanukakitaani
Kampuni ya Xiaomi yaja na matoleo mapya ya simu!!
Kampuni ya Xiaomi wiki iliyopita ilitangaza simu zao mpya, aina ya Xiaomi 12S, Walitangaza matoleo matatu ya simu hizo, zikiwa ni Xiaomi 12S, Xiaomi 12S Pro pamoja na Xiaomi 12S Ultra. Malengo hasa katika matoleo hayo ni kuboresha kamera za simu zao, wakitumia msemo wa Capture The Moment, huku wakiweka wazi azimio lao la kutengeneza...The post Kampuni ya Xiaomi yaja na matoleo mapya ya simu!! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Magemu Yaliyoongoza Kwa Mauzo Katika Mwezi Juni! #2022
Orodha ya magemu ambayo yamefanya vizuri sana katika vifaa vya simu kwa mwezi juni ya mwaka 2022 imetoka na leo tutagusia katika yale yaliyofanya vizuri Zaidi. Hapa kuna magemu kama vile Pokemon Go, Candy Crush, Genshin Impact na mengine mengi ambayo ndani yake yana huduma za kulipia. Huduma hizo ni kama vile ununuzi wa maisha,...The post Magemu Yaliyoongoza Kwa Mauzo Katika Mwezi Juni! #2022 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Meseji Na Kupiga Simu Vyaja Ndani Ya Snapchat Ya Komyuta, Lakini Ni Kwa Wateja Wa Snapchat Plus!
Snapchat ni moja kati ya mtandao wa kijamii wenye jina kubwa sana na unajihusisha na maswala ya video, picha, kupiga na kupokea simu n.k Hapo awali vipengele ambavyo vilikua vinapatikana katika App yake ya simu, vilikua havipatikani katika ile ya mtandaoni (kuingia kupitia kompyuta). Kutumia huduma ya Snapchat Plus haya yote yanaenda kubadilika kabisa. Kwa...
The post Meseji Na Kupiga Simu Vyaja Ndani Ya Snapchat Ya Komyuta, Lakini Ni Kwa Wateja Wa Snapchat Plus! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
Njia Rahisi ya Kupata Jina la Biashara na Mitandao ya Kijamii
Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotaka kufungua biashara yako kwa mara ya kwanza basi ni wazi kuwa jina ni kitu cha msingi sana cha kwanza kufikiria. Na kwa sababu wewe ni msomaji wa tovuti ya Tanzania Tech basi leo nimekuletea njia rahisi sana ya kupata jina lako la biashara pamoja na akaunti zake za […]