Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.52K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

BOMU LA NYUKLIA HATARI ZAIDI DUNIANI, MAREKANI VS URUSI
#bomu #nyuklia
Marekani na Urusi sasa zina maelfu ya silaha za nyuklia kila moja. Leo kupitia episode hii tunakwenda kutazama bomu la nyuklia hatari lililowahi kujaribishwa duniani

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ya kutunza Vitu Kwenye iCloud ili uvipate endapo utapoteza au utaharibu Simu yako, Hii Ni Muhimu Sana #simukitaa
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
BARA LA 8 LAGUNDULIKA!!
Newzfid (YouTube)

Je wajua,kuna Bara la 8 litwalo Zealandia? 94% yake iko chini ya maji, juu ina visiwa vichache tu, kama vile New Zealand.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

3 in one | Tengeneza Qr Code | Sambaza Wifi kwa Qr Code | Zuia watu kuihack Wifi yako
Jifunze hatua kwa hatua namna ya kutengeneza Qr Code, kusambaza Wifi kwa Qr Code na kuzuia watu kuihack Wifi yako, video hii itakuonesha hatua zote muhimu za kutengeneza Qr Code, kusambaza Wifi kwa Qr Code na kuzuia watu kuihack Wifi yako, video yote ni jinsi ya kutengeneza Qr Code, kusambaza Wifi kwa Qr Code na kuzuia watu kuihack Wifi yako, hii ni 3 in one | Tengeneza Qr Code | Sambaza Wifi kwa Qr Code | Zuia watu kuihack Wifi yako,karibuni.

-----------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali au kuwasiliana nasi ingia hapa: https://myurls.co/nk
-----------
3 in one | Tengeneza Qr Code | Sambaza Wifi kwa Qr Code | Zuia watu kuihack Wifi yako
How to create QR Code in Microsoft Word, Excel, & PowerPoint
Create QR Codes for FREE | Use Anywhere (Excel, Word & PowerPoint)
كيفية عمل ال QR code واز ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
MELI KUBWA ZAIDI DUNIANI (MARA 5 YA TITANIC)
Newzfid (YouTube)

Je wajua, Meli ya kitalii iiwayo Wonder of the Seas ni kubwa mara 5 ya RMS Titanic iliyozama mwaka 1912.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Hiv unajua iPhone X na iPhone 8Plus zimefanana Specification 85% ? Haya angalia hii video mpaka mwisho #Simukitaa