This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)
Badilisha muonekano wa Xr iwe macho mawili, X na Xs Max iwe Macho matatu kwa 15k tu #simukitaa

Jinsi ya kutatua tatizo la REUSED CONTENT ndani ya YouTube 2022 — Richstar
https://youtu.be/DaCE8uFmWzY 16:37
https://youtu.be/DaCE8uFmWzY 16:37
YouTube
Jinsi ya kutatua tatizo la REUSED CONTENT ndani ya YouTube 2022
Jifunze jinsi ya kutatua tatizo la reused content ndani ya Youtube na uweze kupata ama kurudishwa katika mfumo wa YouTube Monetization hasa kwa 2022
Ada ni programu ya afya isiyolipishwa (BURE!) ambayo hutoa ufikiaji wa huduma bora kwa mamilioni ulimwenguni…

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Jinsi ya kutatua tatizo la REUSED CONTENT ndani ya YouTube 2022
Jifunze jinsi ya kutatua tatizo la reused content ndani ya Youtube na uweze kupata ama kurudishwa katika mfumo wa YouTube Monetization hasa kwa 2022
Pakua App ya Ada: https://ada.com/
Inasaidia matokeo bora zaidi ya afya na uhodari wa kitiba kwa kutumia teknolojia erevu.
FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz
Twitter: https://twitter.com/richstartz
Facebook: https://facebook.com/richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com

Jinsi ya kutrack location ya mtu yeyote kupitia simu Yako || how to track someone location on phone — Bongotech255
https://youtu.be/fZdW_xFBhw4 3:13
https://youtu.be/fZdW_xFBhw4 3:13
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Jinsi ya kutrack location ya mtu yeyote kupitia simu Yako || how to track someone location on phone
Hivi Unajua unaweza kutambua location ya mtu yeyote Yuko maeneo Gani au nchi Gani kupitia simu Yako na kumpata Kirahisi Sana Tizama video
Karibu telegram akaunti yetu 👇
https://t.me/bongoTechs255
Subscribe like comment na share for more video's ✊

Simu Za Kujikunja Kutoka GOOGLE Kucheleweshwa Tena!
Simu za mfumo huu kutoka katika kampuni ya Google zinasubiriwa kwa hamu sana na kwa mwaka huu tulikua tunategemea tupate hata moja kutoka katika kampuni hilo. Kama unakumbuka kuna hii moja tuliiandika hapa na tulikua tunaitegemea mwisho wa mwaka huu, lakini sasa inatuladhimu tusubiri walau mpaka mwaka 2023. Kumbuka Google imeshatoa baadhi ya simu zake...
The post Simu Za Kujikunja Kutoka GOOGLE Kucheleweshwa Tena! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/simu-za-kujikunja-kutoka-google-kucheleweshwa-tena/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=simu-za-kujikunja-kutoka-google-kucheleweshwa-tena

TeknoKona Teknolojia Tanzania
Simu Za Kujikunja Kutoka GOOGLE Kucheleweshwa Tena!
Simu za mfumo huu kutoka katika kampuni ya Google zinasubiriwa kwa hamu sana na kwa mwaka huu tulikua tunategemea tupate hata moja kutoka katika kampuni hilo.
Electronic Arts (EA) Iko Sokoni Na Hawa Ndio Ndio Wanaotegemewa Kuinunua!
Electronic Arts au maarufu kama EA ni kampuni nguli inayojishughulisha na utengenezaji wa michezo (Game) ya aina mbali mbali. Baadhi ya michezo maarufu ni kama FIFA, Madden, Battlefield na Need for Speed ambayo yote inaandaliwa na kampuni hiyo. Habari zilipotoka kuwa kampuni hiyo iko sokoni au kama kuna uwezekano wa kujiunga na kampuni nyingine zilipotoka...
The post Electronic Arts (EA) Iko Sokoni Na Hawa Ndio Ndio Wanaotegemewa Kuinunua! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/electronic-arts-ea-iko-sokoni-na-hawa-ndio-ndio-wanaotegemewa-kuinunua/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=electronic-arts-ea-iko-sokoni-na-hawa-ndio-ndio-wanaotegemewa-kuinunua

Electronic Arts au maarufu kama EA ni kampuni nguli inayojishughulisha na utengenezaji wa michezo (Game) ya aina mbali mbali. Baadhi ya michezo maarufu ni ka
Infinix Hot 12 | Fahamu Sifa na Bei yake — Poatel
https://youtu.be/E3LfTfMcrp4 3:26
https://youtu.be/E3LfTfMcrp4 3:26
YouTube
Infinix Hot 12 | Fahamu Sifa na Bei yake
Google Docs Kupata Sasisho (Update) Upande Wa Muundo (Format)!
Wengi tunatumia huduma ya Google Doc sio? kuna kipya kimewezeshwa kupitia sasisho lake katika upande wa uundaji (Formatting). Hapa kampuni inakueletea njia rahisi kabisa ya kuhakikisha kuwa unahariri kazi yako kwa urahisi na uharaka zaidi tofauti na mwanzo. Sehemu ambazo zimefanyiwa sasisho ni uwezo wa kuweza kuchagua machaguo mengi na kisha ukayahariri (edit) kwa pamoja....
The post Google Docs Kupata Sasisho (Update) Upande Wa Muundo (Format)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/google-docs-kupata-sasisho-update-upande-wa-muundo-format/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=google-docs-kupata-sasisho-update-upande-wa-muundo-format

Wengi tunatumia huduma ya Google Doc sio? kuna kipya kimewezeshwa kupitia sasisho lake katika upande wa uundaji (Formatting). Hapa kampuni inakueletea njia r
Playstation Baada Ya Kununua Bungie, Inasema Bado Itanunua Makampuni Mengi Zaidi!
Taarifa za hivi karibuni ni kwamba kampuni ya Playstation imenunua kampuni ya Bungie ambayo inamiliki gemu la Destiny. Kampuni ya Sony ambayo ndio inamiliki Playstation imeweka wazi kuwa inataka kutumia asilimia 49 ya bajeti ya maendeleo ya Playstation katika kuhakikisha kuwa wananunua makampuni mengi zaidi. Hii inamaanisha kuwa mpaka kufikia mwaka 2025 Sony kupitia Playstation...
The post Playstation Baada Ya Kununua Bungie, Inasema Bado Itanunua Makampuni Mengi Zaidi! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/playstation-baada-ya-kununua-bungie-inasema-bado-itanunua-makampuni-mengi-zaidi/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=playstation-baada-ya-kununua-bungie-inasema-bado-itanunua-makampuni-mengi-zaidi

Taarifa za hivi karibuni ni kwamba kampuni ya Playstation imenunua kampuni ya Bungie ambayo inamiliki gemu la Destiny. Kampuni ya Sony ambayo ndio inamiliki
Google Play Store Ya Kwenye Kompyuta Yapata Muonekano Mpya!
Google Play store ndio soko kubwa kabisa la App mbalimbali duniani kuzidi yote. Hii inatokana na kuwa na App nyingi kuliko masoko mengine. Muonekano huu unaonekana kuwa utaachiwa kote maana tayari umeshajaribiwa kwa kipindi cha muda mpaka sasa. Hili limetokea baada ya Google kuaona kuna ulazima wa kuleta maboresho ambayo kwa namna moja au nyingine...
The post Google Play Store Ya Kwenye Kompyuta Yapata Muonekano Mpya! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/play-store-ya-kompyuta-yapata-muonekano-mpya/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=play-store-ya-kompyuta-yapata-muonekano-mpya

Google Play store ndio soko kubwa kabisa la App mbalimbali duniani kuzidi yote. Hii inatokana na kuwa na App nyingi kuliko masoko mengine. Muonekano huu unao
Jinsi Ya Ku’Copy’, Ku’Cut’ Na Ku’Paste’ Kwa Urahisi Katika Google Drive!
Google Drive ni njia moja wapo na maarufu sana ya kuhifadhia taarifa (picha, video, nyaraka n.k) katika mtandao. Hivi karibuni niliandika pia kuhusiana na Google Docs kupata sasisho jipya ambalo halina utofauti mkubwa sana na hili.. Ingia HAPA ili kusoma hilo. Google kwa sasa kupitia Google Drive wameweka/wameongeza kipengele cha uwezo wa kukata (cut), kunakili...
The post Jinsi Ya Ku’Copy’, Ku’Cut’ Na Ku’Paste’ Kwa Urahisi Katika Google Drive! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kucopy-kucut-na-kupaste-kwa-urahisi-katika-google-drive/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=jinsi-ya-kucopy-kucut-na-kupaste-kwa-urahisi-katika-google-drive

Jinsi Ya Ku'Copy', Ku'Cut' Na Ku'Paste' Kwa Urahisi Katika Google Drive!
Google Drive ni njia moja wapo na maarufu sana ya kuhifadhia taarifa (picha, video, nyaraka n.k) katika mtandao. Hivi karibuni niliandika pia kuhusiana na Go
Samsung Kupunguza Uzalishaji Wa Simu Kwa Asilimia 10!
Samsung ni moja kati ya kampuni kubwa kabisa za kutengeneza na kuuza simu licha ya kuwa na uzalishaji mkubwa sana wa simu kwa mwaka, hilo linabadilika mwaka huu. Unaweza ukawa unajiuliza juu ya sababu inayopelekea hili? ni wazi kuwa kwa mwaka kampuni hiyo inatengeneza matoleo mengi sana ya simu. Mwaka huu kampuni hiyo ilijikadiria kuwa...
The post Samsung Kupunguza Uzalishaji Wa Simu Kwa Asilimia 10! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/samsung-kupunguza-uzalishaji-wa-simu/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=samsung-kupunguza-uzalishaji-wa-simu

Samsung ni moja kati ya kampuni kubwa kabisa za kutengeneza na kuuza simu licha ya kuwa na uzalishaji mkubwa sana wa simu kwa mwaka, hilo linabadilika mwaka huu
Instagram Na Uwezo Wa Kuchagua Jinsi ‘Profile’ Yako Inavyoonekana!
Instagram ni mtandao wa kijamii maarufu sana hasa katika maswala ya picha na video fupi fupi. Kwa baadhi ya watu ndio mtandao wao wa kijamii pendwa. Kwa watu maarufu na wafanya biashara Instagram imekua ni msaada mkubwa sana kwao bila kusahau kuwa ni njia moja wapo ya kuwaunganisha kaibu na watu wanaowafuatilia (mashabiki). Ushwahi kufikiria...
The post Instagram Na Uwezo Wa Kuchagua Jinsi ‘Profile’ Yako Inavyoonekana! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/instagram-na-uwezo-wa-kuchagua-jinsi-profile-yako-inavyoonekana/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=instagram-na-uwezo-wa-kuchagua-jinsi-profile-yako-inavyoonekana

Instagram Na Uwezo Wa Kuchagua Jinsi 'Profile' Yako Inavyoonekana!
Instagram ni mtandao wa kijamii maarufu sana hasa katika maswala ya picha na video fupi fupi. Kwa baadhi ya watu ndio mtandao wao wa kijamii pendwa. Kwa watu
MAUJANJA: Tumia Video Za TikTok Kama Wallpaper Katika iPhone!
Tumeshaandika mengi sana kuhusu mtandoa wa TikTok, unaweza ukayasoma >>HAPA<<. Tukiachana na hayo leo tunakuletea maujanja. Ni wazi kabisa katika mtandao huo kuna video nyingi tuu na za aina yake ambavyo pengine ungependa ziwe kama sehemu ya ‘Wallpaper’ katika iPhone yako. Cha kufanya hapa ni kwamba inabaidi ubadilishe video hiyo iwe katika mfumo wa ‘Live...
The post MAUJANJA: Tumia Video Za TikTok Kama Wallpaper Katika iPhone! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/tumia-tiktok-kama-wallpaper-katika-iphone/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=tumia-tiktok-kama-wallpaper-katika-iphone

Tumeshaandika mengi sana kuhusu mtandoa wa TikTok, unaweza ukayasoma >>HAPA<<. Tukiachana na hayo leo tunakuletea maujanja. Ni wazi kabisa kati
Jinsi Ya Kufuta Taarifa Katika Laptop Ya Windows Iliyopotea!
Tunaweza kupoteza vifaa vyetu vya kielektroniki, pia vinaweza kuibiwa, je tunavipata vipi? kama uwezekano wa kuvipata unashindikana je tunaweza futa taarifa zetu nyeti? Kwa dunia ya sasa ni mara chache sana watu wanaumia kuhusu kifaa ukilinganisha na taarifa za ndani ya kifaa pindi tuu kifaa kinapoibiwa au kupotea. Tumeshaandika sana kuhusu jinsi ya kuipata simu...
The post Jinsi Ya Kufuta Taarifa Katika Laptop Ya Windows Iliyopotea! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kufuta-taarifa-katika-laptop-ya-windows-iliyopotea/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=jinsi-ya-kufuta-taarifa-katika-laptop-ya-windows-iliyopotea

Tunaweza kupoteza vifaa vyetu vya kielektroniki, pia vinaweza kuibiwa, je tunavipata vipi? kama uwezekano wa kuvipata unashindikana je tunaweza futa taarifa zet