This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)
Ijue Jinsi Ya Kutuma Picha Na Video whatsap na unae mtumia aione Mara moja tu Baada Ya Hapo Ifutike automatically #simukitaa #sanukakitaani #ijuesimuyako

Simu yako inakusumbua kuwasha Hotspot/Wifi Angalia video hii mpaka mwisho #simukitaa

Samsung Yasema Google Assistant Inakuja Kwenye Galaxy Watch 4!
Ukiachana na kusubiriwa kwa muda mrefu, tamko limetoka rasmi kuwa msaidizi kutoka Google (Google Assistant) atafika katika saa janja maarufu kutoka Google. Kiongozi wa juu kabisa kutoka Google, Patrick Chomet amesema kuwa kipengele hicho kitawasili katika saa hizo mwaka huu. Unaweza ukajiuliza ni kwanini Samsung wameamua kufanya kazi na Google katika hii lakini kwa majibu...
The post Samsung Yasema Google Assistant Inakuja Kwenye Galaxy Watch 4! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/google-assistant/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=google-assistant

TeknoKona Teknolojia Tanzania
Samsung Yasema Google Assistant Inakuja Kwenye Galaxy Watch 4!
Ukiachana na kusubiriwa kwa muda mrefu, tamko limetoka rasmi kuwa msaidizi kutoka Google (Google Assistant) atafika katika saa janja maarufu kutoka Google. K
Netflix Yasuasua, Disney Plus Zaongeza Zaidi Ya Wateja (Subscriber) Milioni 8!
Disney Plus inaendelea kujiongezea wafuasi au kwa namna nyingine naweza kusema wateka katika huduma zake katika ulimwengu wa Ku’stream. Pata picha miezi mitatu tuu ya mwanzo katika mwaka 2022 imejiongezea wateja milioni nane. Disney Plus mpaka sasa ina zaidi ya wateja mamilioni duniani kote. Kitu kingine ambacho kinapelekea kamouni hiyo kuongezeka kwa wateja katika mtandao...
The post Netflix Yasuasua, Disney Plus Zaongeza Zaidi Ya Wateja (Subscriber) Milioni 8! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/disney-plus-zaongeza-zaidi-ya-wateja-subscriber-milioni-8/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=disney-plus-zaongeza-zaidi-ya-wateja-subscriber-milioni-8

Disney Plus inaendelea kujiongezea wafuasi au kwa namna nyingine naweza kusema wateka katika huduma zake katika ulimwengu wa Ku'stream. Pata picha miezi mit
Google Kufuta Zaidi Ya App Laki 9 Zilizotelekezwa!
Ni wazi kuwa katika soko la App la Google Play Store kuna App nyingi sana, katika App hizo kuna zile ambazo zimetelekezwa. App hizi zinaweza kuwa zimetelekezwa kwa muda mrefu, bila hata ya kupewa sasisho (update) yoyote kwa muda mrefu. Hii ni hatua nzuri maana kuihalisia soko lina Apps nyingi sana ambazo zinahitaji kupunguzwa. App...
The post Google Kufuta Zaidi Ya App Laki 9 Zilizotelekezwa! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/google-kufuta-zaidi-ya-app-laki-9-zilizotelekezwa/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=google-kufuta-zaidi-ya-app-laki-9-zilizotelekezwa

Ni wazi kuwa katika soko la App la Google Play Store kuna App nyingi sana, katika App hizo kuna zile ambazo zimetelekezwa. App hizi zinaweza kuwa zimetelekez
Microsoft Store App Awards 2022, Piga Kura Kwa App Zako Pendwa!
Lengo kubwa ni kuiweza kuitambua/kuipata App bora kabisa kwa mwaka 2022 kwenye Windows kupitia Microsoft Store. Wametenga App zote katika makundi matatu ambayo wameyapanga kama ifuatavyo File Management Utility Open Platform Nia na madhumu wanasema ni katika kuhakikisha kuwa wanatambua App mbalimbali ambazo ni nzuri, za kushangaza na zenye matumizi mazuri ya kusaidia…. …Apps ambazo...
The post Microsoft Store App Awards 2022, Piga Kura Kwa App Zako Pendwa! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/microsoft-store-app-awards-2022-piga-kura-kwa-app-zako-pendwa/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=microsoft-store-app-awards-2022-piga-kura-kwa-app-zako-pendwa

Lengo kubwa ni kuiweza kuitambua/kuipata App bora kabisa kwa mwaka 2022 kwenye Windows kupitia Microsoft Store. Wametenga App zote katika makundi matatu amba
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Bidhaa Instagram
Ni wazi kuwa biashara nyingi sasa zinapatikana mtandaoni, kutokana na ongezeko la watumiaji wa Internet pamoja na urahisi wa utumiaji wa mitandao ni wazi kuwa sasa watu wengi hukimbilia mtandaoni kununua bidhaa mbalimbali. Kuliona hili leo nimekuletea makala ambayo najua itakusaidia kuweza kununua bidhaa bora kwenye mitandao hasa mtandao wa Instagram. Najua kwa namna moja […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/05/nunua-bidhaa-instagram/

Tanzania Tech
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Bidhaa Instagram
Kama unafikira kununua bidhaa yoyote Instagram basi usinunue kabla ya kusoma makala hapa, soma makala hii kujua jinsi ya kupata bidhaa bora instagram.
Netflix Yanye Matangazo Ndani Yake Mwaka Huu!
Kwa sasa mtandao maarufu sana wa Netflix umepata pigo kubwa la kupungua kwa mapata na kushuka kwa wateja wake (subscribers). Pengine hii ni njia moja wapo ya kuhakikisha kuwa wanaguza karata ili mambo yarudi kama yalivyokua mwanzo. Kumbuka pia kapuni hiyo ina pinga vikali swala la akaunti moja kutumika na zaidi ya watu wawili au...
The post Netflix Yanye Matangazo Ndani Yake Mwaka Huu! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/netflix-yanye-matangazo-ndani-yake-mwaka-huu/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=netflix-yanye-matangazo-ndani-yake-mwaka-huu

Kwa sasa mtandao maarufu sana wa Netflix umepata pigo kubwa la kupungua kwa mapata na kushuka kwa wateja wake (subscribers). Pengine hii ni njia moja wapo ya
Netflix Na Mpango Wa Kuanzisha Huduma Ya Livestreaming!
Livestreaming ni huduma ya kurusha matukio papo kwa papo kwa kutumia mtandao na Netflix iko na mpango huo kwa sasa. Huduma hii itajikita zaidi katika matukio ambayo yanapaswa kuonekana papo kwa papo kama vile ‘stand up commedy’ na matamasha mbali mbali. Kama huduma hii ikiwezekana itakua na maana kubwa sana na hata unaweza kushindanisha matamasha...
The post Netflix Na Mpango Wa Kuanzisha Huduma Ya Livestreaming! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/netflix-na-mpango-wa-kuanzisha-huduma-ya-livestreaming/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=netflix-na-mpango-wa-kuanzisha-huduma-ya-livestreaming

Livestreaming ni huduma ya kurusha matukio papo kwa papo kwa kutumia mtandao na Netflix iko na mpango huo kwa sasa. Huduma hii itajikita zaidi katika matukio
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)
Una Simu Gani Na Unataka Simu Gani? Njoo Ofisini Kwetu Top Up Na Exchange inaruhusiwa #Simukitaa

WHATSAPP: Uwezo Wa Kutoka Kwenye Group Kimya Kimya Na Link Kubwa Kwenye Status!
WhatsApp imekua na maboresho/masasisho (Update) nyingi sana katika siku za karibuni, lakini fikiria uwezo wa kutoka kwenye group kimya kimya. Hii kwa namna moja au nyingine inamaanisha kuwa mwana kikundi (Group) anaweza akajitoa kimya kimya katika group husika bila ya mtandao wa WhatsApp kutaarifu kila mwanachama katika Group hilo. Kumbuka mpaka sasa WhatsApp wanaruhusu makundi...
The post WHATSAPP: Uwezo Wa Kutoka Kwenye Group Kimya Kimya Na Link Kubwa Kwenye Status! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/whatsapp-kutoka-kwenye-group-kimya-kimya-na-link-kubwa/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=whatsapp-kutoka-kwenye-group-kimya-kimya-na-link-kubwa

WHATSAPP: Uwezo Wa Kujitoa Kwenye Group Kimya Kimya Na Link Kubwa Kwenye Status!
WhatsApp imekua na maboresho/masasisho (Update) nyingi sana katika siku za karibuni, lakini fikiria uwezo wa kutoka kwenye group kimya kimya. Hii kwa namna m
Hii sio "Fold Phone" , LG V50s Review ( Inauzwa ) — Snashtz
https://youtu.be/B5S3El25DEM 6:22
https://youtu.be/B5S3El25DEM 6:22
YouTube
Hii sio "Fold Phone" , LG V50s Review ( Inauzwa )
#LG #Snashtz #Inauzwa

https://www.youtube.com/watch?v=B5S3El25DEM

Saved by @InstantMediaBot
Hii sio "Fold Phone" , LG V50s Review ( Inauzwa )
#LG #Snashtz #Inauzwa
Hii sio "Fold Phone" , LG V50s Review ( Inauzwa )
Hii sio "Fold Phone" , LG V50s Review ( Inauzwa )
#LG #Snashtz #Inauzwa
Hii sio "Fold Phone" , LG V50s Review ( Inauzwa )
WhatsApp Business Ya KULIPIA Yanukia!
Pata picha huduma ya WhatsApp Business ikiwa ni ya kulipia, unahisi ni vipengele gani ambavyo vitaongezwa ili kuendana na hali halisi ya malipo hayo?. Kwa haraka haraka hapa ni lazima kwa mtandao huo kuweza kuongeza vipengele ambavyo havipo katika App ya kawaida ya WhatsApp Business. Kipengele hiki kinapewa jina la WhatsApp Premium, na kwa haraka...
The post WhatsApp Business Ya KULIPIA Yanukia! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.
https://teknolojia.co.tz/whatsapp-business-ya-kulipia-yanukia/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=whatsapp-business-ya-kulipia-yanukia

Pata picha huduma ya WhatsApp Business ikiwa ni ya kulipia, unahisi ni vipengele gani ambavyo vitaongezwa ili kuendana na hali halisi ya malipo hayo?. Kwa ha
Teknolojia Ya Chaji Namna Ilivyoboresha Simu Mpya ya Infinix
Infinix HOT 12 ni simu janja kutoka kampuni ya simu Infinix ambayo ilizinduliwa rasmi week ya jana na leo tutaenda kuchambua kila kipengele cha hii simu na faida zake. Chipset ya Kasi/MediaTek G85 Infinix HOT 12 hushughulikia kwa urahisi viwango vya juu vya fremu ili kuendesha michezo inayohitaji sana kusababisha muda mfupi wa kujibu na […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/05/teknolojia-ya-chaji-namna-ilivyoboresha-simu-mpya-ya-infinix/

Infinix HOT 12 ni simu janja kutoka kampuni ya simu Infinix ambayo ilizinduliwa rasmi week ya jana na leo tutaenda kuchambua kila kipengele cha hii simu na