Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.58K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
##02#
Apple Waacha Kuzalisha Matoleo Yote Ya iPod!

Kumbuka iPod ya kwanza kabisa iliingia sokoni mwaka 2001 na ikabadilisha kabisa jinsi watu wanavyosikiliza na mapenzi ya muziki yaliongezeka kwa kiasi kikubwa. iPod ni mojawapo ya kifaa cha kielektroniki ambacho kimeisaidia sana kampuni ya Apple na imekua ni moja katika ya bidhaa ambayo imeliokoa kampuni –maana ilikua bado kidogo lifilisike — mpaka leo ni...

The post Apple Waacha Kuzalisha Matoleo Yote Ya iPod! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/apple-waacha-kuzalisha-matoleo-yote-ya-ipod/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=apple-waacha-kuzalisha-matoleo-yote-ya-ipod
Labda Mpaka Kufikia 2023 iPhone Zitakua Na Charge Ya Type-C (USB-C)!

Fununu zinasema mpaka kufikia 2023 kwa iPhone ambazo zinakuja basi zitakua na sehemu ya kuchaji ambayo tundu lake litakua ni lile la Type-C. Kumbuka aina hizi za chaja simu nyingi za Android ndio zinatumia. Kumbuka habari nyingi kuhusiana na iPhone na charger ya ina hii vimehusishwa sana (1/2)My latest survey indicates that 2H23 new iPhone...

The post Labda Mpaka Kufikia 2023 iPhone Zitakua Na Charge Ya Type-C (USB-C)! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/2023-iphone-zitakua-na-charge-ya-type-c-usb-c/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=2023-iphone-zitakua-na-charge-ya-type-c-usb-c
Jinsi ya Kutuma Meseji za WhatsApp Bila Kushika Simu

Ni kweli kuwa biashara nyingi siku hizi zina hamia mtandaoni, hii ni kutokana na urahisi wa mawasiliano unaoletwa na teknolojia. Lakini ni wazi kuwa kama binadamu sio kila mara unaweza kuwa na simu yako mkononi ukiwa tayari kuchat na wateja. Kuliona hili nimekuletea apps nzuri ambazo zinaweza kukusaidia sana kujibu meseji za WhatsApp za wateja […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/05/meseji-whatsapp-kujituma/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ya kuzuia simu yako isiwe inakula bando sana na isiwe na matumizi makubwa ya Mb #simukitaa #sanukakitaani #ijuesimuyako
Google Waachana Na Tundu La ‘EarPhone’ Kuanzia Toleo La Pixel 6A!

Google Pixel ni simu janja nzuri sana na zinasifika sana katika katika swala zima la picha na hata utendaji wake wa kazi. Google kupitia simu yao mpya inayokwenda kwa jina la Google Pixel 6A, ambayo wameitangaza hivi karibuni, inakuja na vipengele vingi lakini sio tundu la spika za masikio. Hii kwa maana nyingine Google kupitia...

The post Google Waachana Na Tundu La ‘EarPhone’ Kuanzia Toleo La Pixel 6A! appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/google-waachana-na-tundu-la-earphone-kuanzia-toleo-la-pixel-6a/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=google-waachana-na-tundu-la-earphone-kuanzia-toleo-la-pixel-6a
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWA NINI TEKNOLOJIA YA BLUETOOTH IMEPEWA JINA LA 'BLUETOOTH'?
Fahamu historia ya jina la teknolojia ya Bluetooth.

Soma habari mbalimbali mpya kuhusu teknolojia ya Bluetooth kwa kutembelea Teknokona Kona ya Teknolojia - https://teknolojia.co.tz/?s=bluetooth