Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Apps za Kurekodi Mazungumzo ya Simu, Marufuku kwenye Google Playstore

Google wapiga marufuku uwepo wa apps za kurekodi mazungumzo ya simu kuwepo kwenye soko lake maarufu la apps la Google Playstore kuanzia Mei mwaka huu. Ifikapo tarehe 11 Mei, apps zote zenye uwezo wa kurekodi mazungumzo ya simu zitaondolewa kutoka kwenye soko hili maarufu la apps kwa watumiaji wa simu za Android.   Sababu: Kwa...

The post Apps za Kurekodi Mazungumzo ya Simu, Marufuku kwenye Google Playstore appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/apps-za-kurekodi-mazungumzo-ya-simu-marufuku-google-playstore/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=apps-za-kurekodi-mazungumzo-ya-simu-marufuku-google-playstore
Apps za Kudownload Mafile Makubwa kwa Haraka (Android)

Ni wazi kuwa teknolojia ya simu hasa smartphone inaendelea kukuwa kwa kasi kubwa sana, watu wamekuwa wakifanya kila kitu kwa kutumia smartphone lakini bado kuna baadhi ya mambo ni lazima kutumia kompyuta ili kufanya kwa haraka. Kwa mfano, ni wazi kuwa imekua ni mthiani sana kudownload mafile mbalimbali makubwa kupitia kwenye simu yako ya Android […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kudownload-mafile-kwa-haraka-kwenye-android/
Jinsi ya Kuzuia Simu Yako Kuibiwa Android au iPhone

Ni kweli kwamba tunatumia pesa nyingi sana kuweza kununua simu nzuri za kukidhi mahitaji yetu ya kila siku, lakini wote tunajua kuwa sio wakati wote maisha yana haki, kwani kuna baadhi ya watu ambao wapo kuweza kuturudisha nyuma kwa namna moja ama nyingine. Kuliona hili leo nimekuletea njia za kusaidia kuzuia simu yako ya Android […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kuzuia-simu-kuibiwa/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jifunze Windows 10 kwa njia nyepesi
Jifunze hatua kwa hatua Windows 10, Ibobee windows 10, video hii itakufanya uimarike katika kuitumia Windows 10, tutakupa yote ya msingi kuhusu windows 10 na nini kimezidi katika windows 10 ukilinganisha na windows 7 iliokuwa kabla yake, kwa kuwa windows 10 kwa sasa ndio windo inayotumiwa zaidi katika maofisi na sehemu mbalimbali.

-----------
Kama hujajifunza masomo ya BASIC jisajili hapa bure: https://myurls.co/nk
-----------
Windows 10 Tutorial - 3.5 Hour Windows Guide + Windows 10 Tips
Windows 10 (Beginners Guide)
✔️ Windows 10 for Dummies, Newbies, and other Fine Beginners
Windows 10 Beginners Guide
JIFUNZE KUSHUSHA WINDOWS
JIFUNZE UFUNDI WA COMPUTER
JINSI YA KUPIGA au KUWEKA WINDOWS (Windows Installation) | KOZI YA UFUNDI WA COMPUTER (Maintenance)
JINSI YA KUPIGA WINDOW COMPUTER/PC/LAPTOP TOSHIBA,/Hp/LENOVO/DELL/ACCER/SAMSUNG
How To Take ...