This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Алексей (TikTok)
Установка не оригинального модуля на Samsung A51 по просьбе клиента (#samsunga51 #лайкниэтовидео #подписка😍 #мастерская #tiktok #рекомендации❤️❤️🤪все #ремонтэлектроники #телефоны #ремонттелевизоров #ремонттелефонов #ремонтноутбуков #😎😎😎😎 #дисплей #реееек #рек #замена

TECNO Camon 19 Pro na Phantom X Zashinda Tuzo Za Muundo Bora
Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora wa bidhaa wa Phantom X na CAMON 19 Pro. Hii ni tuzo ya kwanza ya TECNO katika shindano la kimataifa la ubunifu, ikithibitisha kujitolea kwa chapa hiyo katika uvumbuzi wa […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/tuzo-za-muundo-bora/

Tanzania Tech
TECNO Camon 19 Pro na Phantom X Zashinda Tuzo Za Muundo Bora
Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora
Jinsi ya Kununua Kamera Bora na Mambo ya Kuzingatia
Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafikiria kununua kamera ya DSLR basi kupitia makala hii nitaenda kukusaidia kununua kamera hiyo kwa kuonyesha mambo muhimu ambayo unatakiwa kujua kabla ya kununua kamera yako ya DSLR ya kwanza. Njia hizi zime nisaidia mimi binafsi na nimeona leo nishiriki nanyi huku nikiwa na matumaini kuwa inaweza ku-kusaidia […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kununua-kamera-dslr/

Kama unataka kununua kamera ya DSLR ambayo ni bora kwa matumizi yako basi soma hapa kujua mambo 6 ya kuzingatia kabla ya kununua kamera ya DSLR.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)
Jua namna ya kuset Keyboard za Android na kuset keyboard zinazo sumbua kutype #Simukitaa

Namna ya kufuta Herufi Moja uliyo kosea Kuandika bila kufuta neno lote au Message yote, Hasa kwenye iPhone 🤝 #simukitaa

Siku ya juzi tulipata bahati ya kualikwa na ITV kwenye kipindi cha mezahuru kuzungumzia Kuhusu Teknolojia Na Huduma kama wadau wa teknolojia tulio jikita kutoa elimu ya matumizi ya simu 🙏 #simukitaa

TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA SPIDERMAN NA VENOM (PART 3) — Newzfid
https://youtu.be/-eYm4TYVOMI 8:01
https://youtu.be/-eYm4TYVOMI 8:01
YouTube
TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA SPIDERMAN NA VENOM (PART 3)
#Spiderman #Venom
Katika hii episode tunakwenda kuangazia Behind the scene za filamu mbili za Marvel zilizotoka mwaka 2021..SPIDER-MAN: NO WAY HOME na Venom: Let There Be Carnage.
0:00 | Introduction
1:06 | SPIDER-MAN: NO WAY HOME VFX breakdown in Swahili…

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA SPIDERMAN NA VENOM (PART 3)
#Spiderman #Venom
Katika hii episode tunakwenda kuangazia Behind the scene za filamu mbili za Marvel zilizotoka mwaka 2021..SPIDER-MAN: NO WAY HOME na Venom: Let There Be Carnage.
0:00 | Introduction
1:06 | SPIDER-MAN: NO WAY HOME VFX breakdown in Swahili
5:00 | Venom: Let There Be Carnage VFX breakdown in Swahili
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James

Usinunue Simu za Zamani Zenye Umri Zaidi ya Miaka 4
Kwa sasa ni wazi kuwa kila kampuni ya simu inajitahidi kwenda na wakati kwa kuzindua simu mpya zenye sifa mbalimbali na zinazo endana na wakati. Lakini kama wewe ni kama mimi ni wazi kuwa kuna wakati unataka kununua simu ya bei rahisi na hivyo unajikuta unataka kununua simu ya miaka ya nyuma kwa sababu mara […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kwa-nini-usinunue-simu-yenye-umri-zaidi-ya-miaka-4/

Kama unafikiria kununua simu ya zamani ya miaka minne iliyopita kutoka izinduliwe, subiri kwanza! soma makala hii kabla ya nununa simu hizo.
Jinsi ya ku design Google Search Logo Animation | After Affects Tutorial — Richstar
https://youtu.be/EkK2M6lqJ_Y 18:08
https://youtu.be/EkK2M6lqJ_Y 18:08
YouTube
Jinsi ya ku design Google Search Logo Animation | After Affects Tutorial
Katika Video hii nimefundisha na kuelekeza Jinsi ya ku Jinsi ya ku design Google Search Logo Animation kwa kutumia Adobe After Effects. Checkout Premium Tuto...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
Jinsi ya ku design Google Search Logo Animation | After Affects Tutorial
Katika Video hii nimefundisha na kuelekeza Jinsi ya ku Jinsi ya ku design Google Search Logo Animation kwa kutumia Adobe After Effects.
Checkout Premium Tutorials
https://app.gumroad.com/richstartz
FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz
Twitter: https://twitter.com/richstartz
Facebook: https://facebook.com/richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com

Utafiti : Halotel Ina Kasi Bora Zaidi ya Mtandao Tanzania
Ikiwa na watu milioni 29.8, au karibu nusu ya idadi ya watu wa Tanzania, wanaojiunga na huduma za mtandao, utafiti mpya unaonyesha kuwa Halotel ina mtandao wa simu wa kasi zaidi nchini. Ookla, ambayo inamiliki na kuendesha huduma ya kupima kasi ya mtandao maarufu ya speedtest.net, imechapisha viwango vyake vya hivi karibuni vya Speedtest Global […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/halotel-ina-kasi-bora-zaidi-ya-mtandao/

Ikiwa na watu milioni 29.8, au karibu nusu ya idadi ya watu wa Tanzania, wanaojiunga na huduma za mtandao, utafiti mpya unaonyesha kuwa Halotel ina mtandao wa
Njia Bora ya Kupata Likes Nyingi Facebook (2022)
Japo kuwa kwa sasa kuna mitandao mingi ya kijamii, lakini bado hadi sasa mwaka 2022 mtandao wa Facebook ni moja ya mtandao ambao unatumiwa zaidi kuliko mitandao yote ya kijamii. Kuliona hili leo nimekuletea njia bora na rahisi ambayo itakusaidia sana kuweza kupata like nyingi kwenye post zako za mtandao wa Facebook. Kitu cha muhimu […]
https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kupata-likes-nyingi-facebook/

Njia Bora ya Kupata Likes Nyingi Facebook (2022) - Tanzania Tech Kiswahili
Unataka kupata likes nyingi kwenye mtandao wa Facebook.? Soma hapa kujua njia bora ya kutumia kupata likes nyingi kwenye post zako facebook.