Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA FILAMU (BEHIND THE SCENES)
#behindthescene #bts #hollywood
Leo nakwenda kukuonyesha Behind the scenes za Hollywood movies na kushiriki nawe mchakato mzika.

0:00​ | Introduction
0:35​ | Movie ya The Meg
2:20​ | Movie ya Iron Man
3:57​ | Movie ya Avatar
6:23 | Movie ya The shadow

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU THE ROCK (DWAYNE JOHNSON)
#TheRock #Hollywood
The rock, ni staa maarufu sana kwa mazoezi makali na misuli yake, ucheshi wa dizaini yake, utaalame wake katika filamu za action na mwanamielekea wa zamani wa WWE..Mashabiki zake wanamuita mfufuzi wa filamu zilizozeeka. Heck yah, wanadai Fast and Furious ilikuwa imezeeka lakini baada ya kuingie Dwayne ikawa tamu kama mpya vile...Anyway, Natumai kupitia mambo 10 katika episode hii itatufundisha kitu.

0:00 | Introduction
0:45 | Historia ya The Rock
1:28 | Kufeli kwa Dwayne Johnson kabla ya Mieleka
2:20 | Mkosi wa The rock
3:00 | Baba yake na babu yake walikuwa wrestlers.
3:52 | The rock WWE na kuchukiwa na mashabiki
4:29 | Tukio lililomfanya The Rock kuanza kupendwa WWE
5:24 | The Rock aliacha mieleka na kuigiza Fast and Furious
6:11 | The Rock ni muigizaji anayeongoza kulipwa dau nono zaidi
6:55 | Tattoo ya ...