Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Hizi Hapa Movie Nzuri za Kuangaia Pasaka Hii (2022)

Habari na karibu kwenye kipengele cha Movie, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambazo unaweza kuangalia siku ya jumatatu hapo nyumbani kwako. Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri ambazo unaweza kuangalia siku ya pasaka na najua kuwa leo upo nyumbani hivyo unaweza kufurahia kuangalia movie hizi siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/hizi-hapa-movie-nzuri-za-kuangaia-pasaka-hii-2022/
Pima Mapigo ya Moyo kwa Kutumia Smartphone Yoyote

Afya ni kitu cha msingi sana kwani kuwa na afya njema ndipo kunatupa nafasi ya kuendelea kuishi na kuendelea kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia. Kuliona hili leo nimeona nikuletee makala fupi yenye kuonyesha njia rahisi ya kufanya huduma ya kwanza ya kupima mapigo ya moyo kwa kutumia Smartphone yoyote. Kumbuka njia hii haibadilishi umuhimu wa […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/kupima-mapigo-ya-moyo/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Pima Mapigo ya Moyo kwa Kutumia Smartphone Yoyote #Maujanja 142
Kama ungependa kupima mapigo ya moyo wako kwa kupitia smartphone yako ya aina yoyote, kupitia video hii utaweza kujifunza njia rahisi za kupima mapigo ya moja kwa urahisi kwa kutumia Smartphone yako. Njia hii imethibitishwa na inaonyesha inafanya kazi kwa usahihi, Kitu cha muhimu ni kuhakikisha unafuata maelezo hapo juu ili kujua jinsi njia hii inavyofanya kazi kwenye simu yako.

Download app kupitia link hapo chini kisha hakikisha unafuata maelezo kwenye video kabla ya kuanza kutumia apps hizi.

MUHIMU : Tafadhali kumbuka, Apps hizi hazipaswi kuchukua nafasi ya vifaa vya matibabu na hazipaswi kutumiwa kwa maamuzi yoyote ya kliniki ni muhimu kwenda hospitali kama unahisi dalili yoyote ambayo ina hatarisha maisha yako.

LINK MAALUM

1. Pakua Hapa App ya Kwanza - https://url.tanzaniatech.one/g ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MICHEZO 10 YA AJABU HUJAWAHI KUONA
#michezo #sports
Tazama michezo 10 ya ajabu ambayo sembuse hujawahi kuisikia/kuiona.

0:00 | Introduction
0:41 | Ear Pull
1:26 | Ferret Legging
2:12 | Extreme Ironing
3:01 | Wife Carrying
3:54 | Toe Wrestling
4:19 | Ostrich Racing
5:04 | Cheese rolling
5:37 | Buzkashi
6:17 | Shin Kicking
7:00 | Kabaddi

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Features 5 zitakazokuongezea speed ya ku edit katika Adobe Premiere Pro
Katika Video hii nimeelekeza mambo matano kuyafahamu ndani ya Adobe Premeire Pro ambayo yatakuwezesha ku edit video zako kwa haraka zaidi.
Mambo hayo ni

0:43 Automatic Clip Cut
2:28 Automatic Frame Resize
5:21 Texts Animations
8:45 Photoshop ruler and style
11:21 Camera Snap tool/Youtube thumbnail

Premium Courses https://richstartz.gumroad.com/

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz
Twitter: https://twitter.com/richstartz
Facebook: https://facebook.com/richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ya Kuset message zikiingia zisionekane juu Mpaka utoe lock na uzifungue.. #simukitaa