Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Utambuzi wa Anwani za makazi na postikadi katika mtindo wa kidijiti

Zoezi la uandikishaji wa anwani za makazi linaendelea nchi nzima kwa lengo la kufanya maeneo yetu yaweze kutambulika kirahisi na hata kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali. Kuna masuala mengi ambayo Tanzania inazidi kwenda mbele na kukubaliana na ukuaji wa teknolojia halikadhalika kwenda nayo sambamba. Hivi sasa si ajabu kusikia neno “Duka mtandao” ama kufanya malipo...

The post Utambuzi wa Anwani za makazi na postikadi katika mtindo wa kidijiti appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/utambuzi-wa-anwani-za-makazi-na-postikadi-katika-mtindo-wa-kidijiti/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=utambuzi-wa-anwani-za-makazi-na-postikadi-katika-mtindo-wa-kidijiti
Elon Musk na Mpango wa Kununua Twitter – Pingamizi na Kuungwa mkono na wadau

Elon Musk ni moja ya watu maarufu zaidi duniani ambao wanamatumizi makubwa ya mtandao wa kijamii wa Twitter. Uamuzi wake wa kutaka kununua kampuni hiyo na kuiondoa toka kwenye soko la hisa umeleta mazungumzo mengi mtandaoni – ya kupinga na mengine ya kuunga mkono. Elon Musk ni nani? Elon Musk ni mfanyabiashara mkubwa aliyepata umaarufu...

The post Elon Musk na Mpango wa Kununua Twitter – Pingamizi na Kuungwa mkono na wadau appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/elon-musk-na-mpango-wa-kununua-twitter/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=elon-musk-na-mpango-wa-kununua-twitter
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Reply to @swabrinakenziah Keyboard zinazo sumbua kutype na ziko tofauti na keyboard zingine, Na keyboard za samsung na za androud zingine Fuata maelekezo 🤝
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jihadhari Kuna wizi mpya kupitia Whatsapp na Instagram 2022
Kuna wizi mpya wa watu kuibiwa akaunti zao za mitandoa ya kijamii kupitia Whatsapp jihadhari sana tizama video kujua jinsi wanavyoweza kukuibia na kuweza kuathilikia

Teknolojia ni yetu sote

Telegram channel 👇
https://t.me/bongoTechs255
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

TAZAMA HOLLYWOOD WAKIANDAA MOVIE (PART 2)
#Movies #BTS
Katika hii episode tunakwenda kuangalia Behind the scenes za filamu mbili za Marvel zilizotoka mwaka 2021.. Shang-Chi and The Legend of The Ten Rings na Black Widow.

0:00 | Introduction
0:45 | Movie ya kwanza, Shang-Chi and The Legend of The Ten Rings
4:23 | Movie ya Pili, Black Widow

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Hizi Hapa Movie Nzuri za Kuangaia Pasaka Hii (2022)

Habari na karibu kwenye kipengele cha Movie, kupitia kipengelea hichi huwa tuna angalia movie nzuri ambazo unaweza kuangalia siku ya jumatatu hapo nyumbani kwako. Kwa siku ya leo nimekuletea movie nzuri ambazo unaweza kuangalia siku ya pasaka na najua kuwa leo upo nyumbani hivyo unaweza kufurahia kuangalia movie hizi siku ya leo. Unaweza kuangalia Trailer […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/hizi-hapa-movie-nzuri-za-kuangaia-pasaka-hii-2022/