Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU ROMAN REIGNS
#RomanReigns #WWE
Roman Reigns ni mwanamieleka undisputed katika ulingo wa WWE, taji ambalo limeshikiliwa kwa muda mrefu na John Cena

0:00​ | Introduction
0:33​ | Historia ya Roman Reigns
1:26​ | Mwanzo wake kwenye American Football
2:24​ | Moja kwa Moja kwenye mieleka
3:18 | Roman Reigns Kuingia WWE vs John cena
4:08 | Je, Roman Reigns anahusiana Na The rock?
4:58​ | Ugonjwa hatari anaoumwa Roman Reigns
5:44​ | Ujio wa The Tribal Chief WWE
6:29 | Muungano wa The Bloodline
7:13​ | Undisputed Universal Champion wa WWE
7:47​ | Kuingia Hollwood kama The Rock

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Kwa wale ambao keyboard zao zina wasumbua wakati wa kutype haya ndo maelezo ya kufuata ili ukomboke🤝
Samsung mbioni kuja na Galaxy F13

Imekuwa kama desturi ya makampuni mengi kutoa simu janja ambazo zinakuwa zina jina moja huku zitofautiana aidha kwa namba au kwa vivumishi fulani fulani. Samsung mi moja ya makampuni hayo ambapo wapo mbioni kutoa Galaxy F13. Imeonekana kuwa wakati umewadia kwa Galaxy F12 kuwa na ndugu yake kwenye soko la ushindani. Hii imebainika mara baada...

The post Samsung mbioni kuja na Galaxy F13 appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/samsung-mbioni-kuja-na-galaxy-f13/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=samsung-mbioni-kuja-na-galaxy-f13