Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.53K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya kutumia window 7,8,10 na 11 kwenye simu || how to install windows 10 , 11,8,7 on smartphone
Fahamu njia rahisi ya kutumia window yoyote Ile kwenye simu yako kuanzia 7 , 8, 10 na 11 bila shida yoyote

Tizama sasa don't forget to subscribe likes na comment for more videos

Telegram join πŸ‘‡
https://t.me/bongoTechs255

Teknolojia ni Yetu sote
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link https://youtu.be/nG_D8g9eAvs kufuatilia mubashara kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, mahojiano baina ya Mtangazaji Khalid Gangana na Meneja wa Huduma za Posta kutoka TCRA, Ndugu Haruni Lemanya, wakizungumza kuhusu Anwani za Makazi na Faida zake.
Apps Muhimu kwaajili ya Mwezi wa Ramadhani (2022)

Kila mwaka Waislamu wote duniani ujumuika pamoja na kufunga kila ifikapo mwezi mtukufu wa Ramadhani, mwezi huo waumini wote wa dini ya kiislamu hufanya Sala pamoja na mambo mengine mazuri ya kumpendeza Mungu ikiwa kama ni sehemu ya ibada ya mwezi huo. Kwa sasa tupo kwenye siku za mwanzo za kipindi hicho cha mwezi mtukufu […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/mwezi-wa-ramadhani/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

πŸ“Umuhimu wa Anwani za MakaziπŸ“
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

πŸ“Umuhimu wa Anwani za MakaziπŸ“
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU WIZ KHALIFA
#wizkhalifa #hiphop
Wiz Khalifa ni rapa nguli anayejulikana kwa vibao vyake maarufu kama Black and Yellow, "Work Hard, Play Hard" na "See You Again"

0:00​ | Introduction
0:26​ | Historia ya Wiz khalifa
1:32​ | Sharti alilopewa na baba yake
2:18​ | Wiz Khalifa kuwa maarufu twiiter
3:13 | Kusainiwa Warner records na kuondoka
4:03 | Mziki mpya wa rap na pop kama Drake, Flo rida na B.oB.
4:44​ | Wiz na Meneja wake wa siku zote
5:15​ | Bangi na Wiz khalifa
6:07 | Rekodi iliyoachwa na See You Again
6:49​ | Wiz Khalifa anenepa na ana misuli
7:29 | Utajiri wa Wiz Khalifa Networth

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Jinsi ya Ku-Convert Mafaili ya Aina Zote kwa Pamoja (Windows)

Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia kompyuta kwa muda mrefu basi ni wazi kuwa kuna wakati unahitaji kubadilisha format ya file moja kwenye file lingine bila kuinstall programu mpya. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia ku-convert mafaili ya aina zote kwa urahisi na haraka bila ku-install programu nyingi. Kupitia njia […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/04/convert-mafaili-ya-aina-zote/