Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

NATO: TUTAZILINDA NCHI ZETU HUENDA VITA IKATOKA NJE YA MSTARI UKRAINE| TAZAMA LIVE KUTOKA VITANI
VITANI LIVE: VITA BADO |MAELFU YA RAIA WAREJEA KWAO KUPIGANA UKRAINE
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI
LIVE: KUTOKA UKRAINE VITA YA URUSI

Kujiunga masomo yetu kupitia App yetu : https://nkitlessonscenter.glideapp.io/
---------
Kujiunga na kozi zetu mbalimbali: https://forms.gle/3EpWbWxXC8hNs5Dv9
Kuwasiliana nasi:
https://myurls.co/nk
Channel yetu mpya ya Photoshop Skills:
https://www.youtube.com/channel/UCA0A48f6WXwm-vlzATamLeA
--------
-----------------------------------------------
JINSI ya KUPATA storage MPAKA GB 100 BURE | Ongeza Disk au Memory yako
JINSI YA KUPATA GB 48 BURE MWAKA MZIMA
Jinsi ya kupata gb 10 bure
Namna yakupata Gb 5.5 bure Tigo
Top 10 Best FREE CLOUD ST ...
Samsung inathibitisha kuwa wadukuzi walihatarisha mifumo yake na kuiba source code za Galaxy

Samsung ilithibitisha Jumatatu kwamba baadhi ya data zake ziliibiwa kama sehemu ya shambulio la mtandao ambalo liliripotiwa kwa mara ya kwanza mwishoni mwa wiki. Katika taarifa kwa Bloomberg, kampuni kubwa ya vifaa vya elektroniki ya Korea ilifichua kwamba ukiukaji wa usalama ulisababisha “baadhi ya source code (msimbo) zinazohusiana na uendeshaji wa vifaa vya Galaxy”. Ingawa...

The post Samsung inathibitisha kuwa wadukuzi walihatarisha mifumo yake na kuiba source code za Galaxy appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/samsung-inathibitisha-kuwa-wadukuzi-walihatarisha-mifumo-yake-na-kuiba-source-code-za-galaxy/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=samsung-inathibitisha-kuwa-wadukuzi-walihatarisha-mifumo-yake-na-kuiba-source-code-za-galaxy
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Katibu Mkuu Kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Balozi Hussein Kattanga akizungumza katika ufunguzi wa Semina ya Uchumi wa Kidijitali kwa Mamlaka za Juu za Maamuzi ya Sera Nchini, Tarehe 8 Machi 2022, Zanzibar.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ya Ku export High Quality Music Video | Premiere Pro Tutorial
Katika video hii nimefundisha na kuelekeza jinsi Ku export High-Quality Music Video | Premiere Pro Tutorial
Premium Tutorials: https://richstartz.gumroad.com/

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz
Twitter: https://twitter.com/richstartz
Facebook: https://facebook.com/richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com
Jinsi ya Kufungua App Yoyote Kupitia Notification Panel

Kama wewe ni kama mimi ambae kwenye simu yangu kuna apps nyingi kiasi kwamba ni lazima utumie sekunde kadhaa kutafuta app unayotaka kutumia basi njia hii inaweza kusaidia sana. Kupitia makala ya leo nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia kuweza kufungua app yoyote kupitia sehemu ya Notification. Utaweza kufungua apps mbalimbali kama ambayo unawasha […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/kufungua-app-kupitia-notification/
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

WANYAMA NAO WANAPIGANA VITA?
Nchi zinapigana Vita, na Je wanyama nao wanapigana VITA kama binadamu?

Jinsi ya kujiunga na kozi yangu ya YouTube masterclass
(1) Lipia Tsh.10,000 kwenda MPESA 0768712711 (James Chungu)
(2) Utatumiwa username na password baada ya malipo
(3) Tembelea https://course.afrojuke.com kisha login kwa kutumia username na password uliyotumiwa
Fahamu Sifa Kamili za Simu Yako ya Android (Bila Internet)

Ni wazi kuwa siku hizi katika kundi la watu 10 basi lazima utakuta watu saba wanatumia simu za Android, hii inafanya kuwepo na watumiaji wengi wa simu za Android kuliko hata simu za mifumo mingine kama iOS. Hata hivyo, pamoja na kuwepo kwa watumiaji wengi wa simu za Android ni wazi kuwa sio watumiaji wote […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/03/jinsi-ya-kujua-sifa-kamili-za-simu-yako/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Unaweza kutuma maoni kupitia Baruapepe: dawatilahuduma@tcra.go.tz au kwa kuandika Barua kwa Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, S.L.P 474, Dar es Salaam.

Maoni yako ni muhimu katika kuboresha Huduma za Mawasiliano Nchini.

Hizi huduma baadh ya maeneo hatuzipat hasa huduma ya internet naongea kutokea kashenyi-murongo Kyerwa district.