Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.54K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Jinsi ya Kuzuia SMS za Promosheni Kwenye Simu Yako

Siku hizi kuna makampuni mengie sana yanafanya promosheni kupitia kutuma meseji kwa watumiaji wa simu mbalimbali, kuna wakati meseji hizi zinakuwa kero sana kwa sababu ya kupokea meseji nyingi kwa siku na mbaya zaidi hakuna njia yoyote ya kuweza kujitoa kwenye huduma hizi. Kupitia maujanja siku ya leo nitakuonyesha njia bora ya kuzuia meseji hizi […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/kuzuia-sms-promosheni/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link https://youtu.be/UvbjJK5L1p4 kufuatilia mubashara mahojiano baina ya Mtangazaji Millard Ayo na Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta kutoka TCRA, Dkt. Emmanuel Manasseh wakizungumza kuhusu Matumizi Sahihi ya Data.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link https://youtu.be/UvbjJK5L1p4 kufuatilia mubashara mahojiano baina ya Mtangazaji Millard Ayo na Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta kutoka TCRA, Dkt. Emmanuel Manasseh wakizungumza kuhusu Matumizi Sahihi ya Data.
Pata Ujumbe Mfupi Mtu Anapokuwa Online WhatsApp

Ni wazi kuwa Internet imekuwa ni sehemu ya muhimu sana kwenye maisha yetu, lakini pia ni wazi kuwa mitandao imekuwa ni sehemu kubwa ya kuharibu watoto wetu hasa wanapokuwa wakitumia mitandao hiyo kwa njia ambayo sio sahihi. Kupitia makala hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kupata taarifa pale mtu anapokuwa online na ni muda […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/fahamu-anapokuwa-online-whatsapp/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa elimu kuhusu Matumizi sahihi na salama ya mitandao kwa washiriki kutoka Chama Cha Walimu wenye Uziwi Tanzania (CWUT). Semina Hiyo imefanyika tarehe 24/02/2022 katika ukumbi wa Joy in the Harvest, Kigoma.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MR. BONES ALIPOTELEA WAPI?
#mrbones #movies
Filamu zote za Mr Bones zimo kwenye orodha ya Filamu 10 za Juu Zaidi kimapato kutokea Afrika ya kusini, ndani ya orodha unakutana na filamu kali za wakati wote kama vile, The Gods Must Be Crazy na Sarafina..Sasa je Mr.Bones mwenyewe yuko wapi?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Mpango wa kukambilana na akaunti za uwongo kwenye mitandao ya kijamii

Uwepo akaunti za uwongo kwenye mitandao ya kijamii ni suala ambalo linakera na sio zuri kwani watumiaji wake wanaathirika kwa namna moja au nyingine. Serikali ya Uingereza inapanga kupeleka mswada bungeni ambao utawataka makampuni makubwa inayomiliki Facebook, Instagram na nyinginezo ambazo zinafanya biashara hiyo zimetakuwa kutafuta namna ya kukabiliana na akaunti za uwongo kwenye mitandao...

The post Mpango wa kukambilana na akaunti za uwongo kwenye mitandao ya kijamii appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/mpango-wa-kukambilana-na-akaunti-za-uwongo-kwenye-mitandao-ya-kijamii/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=mpango-wa-kukambilana-na-akaunti-za-uwongo-kwenye-mitandao-ya-kijamii
Process has been reset/server is not responding, please try again later