Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Mambo Yanayosababisha Simu Yako Kustaki au Kuwa Slow

Moja kati ya swali ambalo tumelipata kupitia kwenye ukurasa wetu wa facebook ni pamoja na hili, ambalo msomaji wetu alikuwa akiuliza “hivi ni kwanini simu yangu imekuwa ikinata nata kila mara au kwa lugha nyingine kwanini simu yangu imekuwa iki staki mara kwa mara hasa app ya instagram”.? Sasa baada ya uchunguzi na kwa kushirikiana […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/simu-kuwa-slow-na-kustaki/
Maboresho kukabiliana na uraibu wa matumizi ya Instagram

Moja ya sababu ya watu kununua kifurushi cha intaneti ni kuweza kuperuzi mtandaoni halikadhalika kwenye mitandao ya kijamii kwa ujumla wake. Ni wazi kuwa kuna watu wana uraibu wa matumizi ya Instagram lakini ukiwaambia wanaweza wasikubali. Waliotengenza Instagram walikuja kugundua kuwa mtandao huo wa kijamii unasababisha watu kupata uraibu (addiction) hapa nikiwa na maana ya...

The post Maboresho kukabiliana na uraibu wa matumizi ya Instagram appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/maboresho-kukabiliana-na-uraibu-wa-matumizi-ya-instagram/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=maboresho-kukabiliana-na-uraibu-wa-matumizi-ya-instagram
TeknoKona (Facebook)

Zima na kuwasha simu yako mtandao unaposumbua. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Kama hupendi kutajwa ndani ya chapisho la mtu kwenye Twitter basi fahamu kuwa unaweza kujitoa.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Jinsi ninavyo Color Grade Video zangu kwa kutumia Premiere Pro
Katika video hii nimefundisha na kuelekeza jinsi ninavyo Color Grade Video zangu kwa kutumia Premiere Pro.

FOLLOW ME:
Instagram: https://instagram.com/richstartz
Twitter: https://twitter.com/richstartz
Facebook: https://facebook.com/richstatz
Email: rmaguluko@gmail.com
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mwenendo wa bei za rejareja za Dakika, SMS na Data ndani ya kifurushi, kuanzia Mwaka 2015 hadi kufikia Februari, 2022.

Data
Facebook wametuletea features mpya 2022 || Amazing new features on Facebook 2022 — Bongotech255
https://youtu.be/UOiH7VUB8rM 0:54
App za Kutengeneza Matangazo Bora ya Instagram na FB

Ni ukweli usio pingika kuwa Instagram ni moja kati ya sehemu bora sana za kupata wateja wapya, hii inatokana na wingi wa watu wanaotuma mtandao huo ambao hadi sasa inasemekana mtandao huo unao zaidi ya watumiaji bilioni 1 kila mwezi, namba hii inaenda ikiongezeka kwa kasi. Sasa kupitia zaidi ya watumiaji bilioni 1 kwa mwezi […]

https://www.tanzaniatech.one/2022/02/matangazo-ya-instagram-na-facebook/
Chagua picha kirahisi ndani ya kitufe cha kamera kwenye WhatsApp #iOS

Imekuwa ni rahisi watu kutumiana picha ndani ya kitufe cha kamera kwa njia ya WhatsApp na hii inatokana na jinsi ambavyo programu tumishi imetengenzwa. Kwa wanaotumia iOS mambo yalibadilishwa kidogo lakini sasa vitu vimerejea kama ilivyokuwa hapo awali. Tunafahamu ilivyo rahisi kiasi gani kumtumia mtu picha kwenye WhatsApp na kuweza kumfikia mara moja kama yupo...

The post Chagua picha kirahisi ndani ya kitufe cha kamera kwenye WhatsApp #iOS appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/chagua-picha-kirahisi-ndani-ya-kitufe-cha-kamera-kwenye-whatsapp-ios/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=chagua-picha-kirahisi-ndani-ya-kitufe-cha-kamera-kwenye-whatsapp-ios
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari akizungumza kwenye Mkutano wa Majadiliano baina ya TCRA na Wahariri wa vyombo vya Habari nchi, Tarehe 22/2/2022.
TeknoKona (Facebook)

Kwa haraka haraka unatumia muda kiasi gani kuperuzi Instagram ndani ya saa 24?
Hakuna tena mpango wa kuona ujio mpya wa BlackBerry ya 5G

BlackBerry ni jina lenye hishima kubwa na na kampuni mbili hadi sasa kwa nyakati tofauti zimeshainunua na kutaka kutoa bidhaa mpya ambazo zinabeba jina hilo lakini zimekuwepo changamoto nyingi ambazo zimesababisha mipango ya ujio mpya kutokwenda sawia. Hivi karibuni tuliandika kuhusu OnwardMobility kutaka kurudisha kwenye ramani simu jana za BlackBerry hasa wakiwa wamejipanga kuja na...

The post Hakuna tena mpango wa kuona ujio mpya wa BlackBerry ya 5G appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/hakuna-tena-mpango-wa-kuona-ujio-mpya-wa-blackberry-ya-5g/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=hakuna-tena-mpango-wa-kuona-ujio-mpya-wa-blackberry-ya-5g
Facebook Reels yatanua wigo kupambana na TikTok

Mtindo wa watu kutengeneza video fupi fupi kwenye mitandao ya kijamii ni maarufu sana siku hizi kiasi kwamba kuna wengine wameshakuwa na uraibu wa kuperuzi kwenye Facebook Reels, TikTok, n.k. TikTok amabyo inamilikiwa na kampuni-ByteDance imetokea kuwavutia watu wengi ulimwenguni kote na kiasi kwamba wamejitokeza kudhamini mashindani mbalimbali Afrika na duniani kwa ujumla. Ukubwa wa...

The post Facebook Reels yatanua wigo kupambana na TikTok appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.

https://teknolojia.co.tz/facebook-reels-yatanua-wigo-kupambana-na-tiktok/?utm_source=rss&utm_medium=rss&utm_campaign=facebook-reels-yatanua-wigo-kupambana-na-tiktok
TeknoKona (Facebook)

Vitu vimerudi kama zamani #WhatsApp #iOS