Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.33K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JET LI ALIPOTELEA WAPI
#JetLi #kungfu #movies
Jet li ni mmoja wa watu mashuhuri katika tasnia ya filamu za Martial art. Kwa wale ambao hawakukulia kwenye kipindi cha filamu za kung fu, Jet li ni nguli wa filamu hizo kama walivyo waigizaji wengine kama Jackie chan na Donnie Yen. Katika episode hii tunakwenda kujua Jet li alipotelea wapi na yu wapi sasa?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James