Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

BILLY BLANKS ALIPOTELEA WAPI?
#BillyBlanks #Movie
Billy Blanks ni moja ya mastaa wa Hollywood wa miaka ya 80 na 90. Billy Blanks ambae kuna movie alionekana kando ya Jean-Claude Van Damme na Bolo Yeung alivuma sana katika miaka ya 80, aliporomoka kidogo katika suala la umaarufu katika miaka ya 90, na sasa watu wengi walihoji yu hai? kama hai,yuko wapi na anafanya nini.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James