Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KEVIN WA 'HOME ALONE' ALIPOTELEA WAPI?
#HomeAlone #MacaulayCulkin
Home Alone ni movie iliyochezwa na Macaulay Culkin, Katika filamu hiyo, familia ya McCallister inasafiri kwenda Paris kwa likizo lakini kwa bahati mbaya wanamwacha nyuma mwanafamilia mmoja, Kevin mtoto wao wa miaka 8.

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James