Teknolojia
136 subscribers
3.86K photos
5.11K videos
94 files
13.5K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

AMERICAN NINJA (MICHAEL DUDIKOFF) ALIPOTELEA WAPI?
#AmericanNinja #MichaelDudikoff #Movie
Filamu za ‘American Ninja’ na star wake Michael Dudikoff zilihusu kisa cha mwanajeshi wa Marekani Joe Armstrong akipambana na vilinge vya maninja. Hivi huyu Hollywood star, Michael Dudikoff yuko wapi sasa? Je, anaendelea kushoot action movies?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James